Tanzania Academy of Sciences

Tanzania Academy of Sciences

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Natambua kwamba kama taifa tunao wataalamu wa fani mbalimbali.
Natambua pia kwamba "Sciences" katika ujumla wake ni msingi wa mafanikio katika taifa lolote.

Kwa msingi huo basi naonelea itakuwa ni jambo jema kama taifa tukiwa na Tanzania Academy of Sciences ambayo itajikita zaidi katika kuhamasisha elimu na utafiti katika Sayansi za Aina tofauti ikiwamo Uhandisi,Tehama,Sayansi jamii,Uchumi N.K.

Naamani kabisa inawezekana kuanzishwa kwa chombo kama hiki na kwamba kitakuwa na manufaa makubwa sana katika maendeleo yetu

Tujadili kwa pamoja namna bora ambayo tunaweza kufikia lengo hili na faida zake
 
Good idea, tatizo uongozi wa hizo taasisi na pesa kutoka kwa serikali.
 
Ni wazo zuri lakini science haiwezi kwenda pekee bila art na hakuna nchi yenye kiwango cha juu cha kisayansi na technolojia kwa kuiacha art nyuma bali huenda sambamba kama huna ma artist wazuri wa kuendana na wanasayansi ulio watengeneza hakuna cha maana sana utachoweza kufanikisha.

Na ndiyo maana nchi zilizoendelea zina mafanikio sehemu hizo mbili angalia hata usitawi wa Roma ya kale ulikuwa umezungukwa na hayo achilia mbali Egypt na Sumer itakuwa vyema kama itakuwa Tanzania Academy of Art and Sciences
 
Mkuu Art ni Sayansi,Usikariri.Na kwa hakika maeneo yote lazima yapelekwe mbele katika ujenzi wa Taifa jipya
 
Tatizo hii nchi haijawahi kupata viongozi wenye maono hayo.
Utafiti na maendeleo ni vitu vya muhimu sana katika kuliinua taifa lolote.Elimu yetu ijikite kwenye jinsi ya kuchakata rasilimali zetu alizotupatia Muumba wetu sio waje wageni wachukue kama mali ghafi halafu watulangue tunapoagiza bidhaa kutoka kwao!!!
 
Mkuu Art ni Sayansi,Usikariri.Na kwa hakika maeneo yote lazima yapelekwe mbele katika ujenzi wa Taifa jipya
Usije kuwa wewe ndiye umekariri ni art sayansi sawa lakini analytical scientists and creative artists are on opposite sides of a spectrum The subjects and methods have different traditions and disciplines naongea kwa kuwa kimoja kinahusika na shughuli zangu za kila siku .

Mfano creative artist analazimika kujifunza anatomy ya binadamu na wanyama has mechanics za mifupa na muscles analazika kujifunza perspective na mwanga nk hiyo ni sayansi lakini inapokuja kwenye application anaweza buni dunia yake ya kufikirika ambayo haifuati misingi yeyote ya kisayansi.
 
Back
Top Bottom