Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Natambua kwamba kama taifa tunao wataalamu wa fani mbalimbali.
Natambua pia kwamba "Sciences" katika ujumla wake ni msingi wa mafanikio katika taifa lolote.
Kwa msingi huo basi naonelea itakuwa ni jambo jema kama taifa tukiwa na Tanzania Academy of Sciences ambayo itajikita zaidi katika kuhamasisha elimu na utafiti katika Sayansi za Aina tofauti ikiwamo Uhandisi,Tehama,Sayansi jamii,Uchumi N.K.
Naamani kabisa inawezekana kuanzishwa kwa chombo kama hiki na kwamba kitakuwa na manufaa makubwa sana katika maendeleo yetu
Tujadili kwa pamoja namna bora ambayo tunaweza kufikia lengo hili na faida zake