Mkuu Art ni Sayansi,Usikariri.Na kwa hakika maeneo yote lazima yapelekwe mbele katika ujenzi wa Taifa jipyaNi wazo zuri lakini science haiwezi kwenda pekee bila art na hakuna nchi yenye kiwango cha juu cha kisayansi na technolojia kwa kuiacha art nyuma bali huenda sambamba kama huna ma artist wazuri wa kuendana na wanasayansi ulio watengeneza hakuna cha maana sana utachoweza kufanikisha.
Na ndiyo maana nchi zilizoendelea zina mafanikio sehemu hizo mbili angalia hata usitawi wa Roma ya kale ulikuwa umezungukwa na hayo achilia mbali Egypt na Sumer itakuwa vyema kama itakuwa Tanzania Academy of Art and Sciences

Usije kuwa wewe ndiye umekariri ni art sayansi sawa lakini analytical scientists and creative artists are on opposite sides of a spectrum The subjects and methods have different traditions and disciplines naongea kwa kuwa kimoja kinahusika na shughuli zangu za kila siku .Mkuu Art ni Sayansi,Usikariri.Na kwa hakika maeneo yote lazima yapelekwe mbele katika ujenzi wa Taifa jipya