joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.Tanzania is the leading country in Africa by the best quality in medical care
Tupo vizuri sana kwenye sector ya afyaKaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwezekana hizi taarifa wafikishie majirani zetu wasisumbuke tena kwenda mbali kutafuta tiba [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tupo vizuri sana kwenye sector ya afya
Hii ndo maana mnakufa wengi . kwikwikwiTupo vizuri sana kwenye sector ya afya
Karibu sana upate huduma bora za matibabu, hii ndio maana halisi ya maendeleo ya watu, sio kujenga malls no majengo marefu wakati huduma za msingi zipo katika hali mbaya.Hii ndo maana mnakufa wengi . kwikwikwi
Tutakuja kutibiwa tukihitaji huduma za mashine, lakini kumbuka Wakenya wengi wanaenda India kwa sababu ya surgery sio kwa sababu ya hayo mashine pekee.Ingekuwa vyema kama mngekuwa na surgeons wanaoweza kufanya upasuaji wa hali ya juu kama wale wa India.Ikiwezekana hizi taarifa wafikishie majirani zetu wasisumbuke tena kwenda mbali kutafuta tiba [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyinyi mtaishi milele?Hii ndo maana mnakufa wengi . kwikwikwi
Kaka tiba za kisasa ni za kitaalamu zaidi sio za kupasua tena(less invasive), siku hizi mikono ya binadamu inapumzishwa badala yake mashine za kisasa zinafanya kila kitu.Tutakuja kutibiwa tukihitaji huduma za mashine, lakini kumbuka Wakenya wengi wanaenda India kwa sababu ya surgery sio kwa sababu ya hayo mashine pekee.Ingekuwa vyema kama mngekuwa na surgeons wanaoweza kufanya upasuaji wa hali ya juu kama wale wa India.
Vipimo mnavyo, vya kutambua ugonjwa. Sawa , dawa jeee mnazo ????Kaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wapinzani watasema hayo hayana maana kama bibi zao hawana maji safi
ORCI we’ve started using state of art Linear accelerator Machines (Linacs) (we have 2 of them) for radiotherapy treatment. One of the first in East and central Africa.
Multienergies can plan and treat even small tumors in the brain and sparing the surrounding tissues.
CT simulator has capability of scanning and planning and know what dose will each organ receive before treatment.
No need of flying out for modern advance radiotherapy services now.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania is the leading country in Africa by the best quality in medical care
Kaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
That is private Hospital, we are talking about public Government hospital, by the way show evidence that Aga Khan Nairobi wameshapata PET scanner.Aga Khan Nairobi has a PET scanner.
Mmechelewa.
That is private Hospital, we are talking about public Government hospital, by the way show evidence that Aga Khan Nairobi wameshapata PET scanner.
Sent using Jamii Forums mobile app