Tanzania again has done it

Tanzania again has done it

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
ORCI we’ve started using state of art Linear accelerator Machines (Linacs) (we have 2 of them) for radiotherapy treatment. One of the first in East and central Africa.

Multienergies can plan and treat even small tumors in the brain and sparing the surrounding tissues.

CT simulator has capability of scanning and planning and know what dose will each organ receive before treatment.

No need of flying out for modern advance radiotherapy services now.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania is the leading country in Africa by the best quality in medical care
Kaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwezekana hizi taarifa wafikishie majirani zetu wasisumbuke tena kwenda mbali kutafuta tiba [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuja kutibiwa tukihitaji huduma za mashine, lakini kumbuka Wakenya wengi wanaenda India kwa sababu ya surgery sio kwa sababu ya hayo mashine pekee.Ingekuwa vyema kama mngekuwa na surgeons wanaoweza kufanya upasuaji wa hali ya juu kama wale wa India.
 
Kaka tiba za kisasa ni za kitaalamu zaidi sio za kupasua tena(less invasive), siku hizi mikono ya binadamu inapumzishwa badala yake mashine za kisasa zinafanya kila kitu.

Kumbuka hii mashine ina uwezo wa kuona cancer cells zikiwa katika hatua za awali kabisa na yenyewe itaeleza aina na dose ya dawa inayoitajika kutibu hilo tatizo, ni zaidi ya mashine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka December tunafunga PET scan, mwesho wa mchezo. Hizi machine huwezi kuzikita hata kwenye Hospitali nyingi Zach private in South Africa, hapa kwetu zipo katika hospitali za serikali pekee, gharama za matibabu ni karibu na bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipimo mnavyo, vya kutambua ugonjwa. Sawa , dawa jeee mnazo ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ORCI we’ve started using state of art Linear accelerator Machines (Linacs) (we have 2 of them) for radiotherapy treatment. One of the first in East and central Africa.

Multienergies can plan and treat even small tumors in the brain and sparing the surrounding tissues.

CT simulator has capability of scanning and planning and know what dose will each organ receive before treatment.

No need of flying out for modern advance radiotherapy services now.

Sent using Jamii Forums mobile app

When you say 'one of the first', I suppose the actual first was in Kenya?
 
Tanzania is the leading country in Africa by the best quality in medical care

Keep dreaming. You are boasting of machines Kenya bought in 2008.

For you info, a Linac machine costs just $2 million.
A country of 60 million is boasting of having two of them yet they applaud their supremo when he buys $250 million dreamliners.
 
That is private Hospital, we are talking about public Government hospital, by the way show evidence that Aga Khan Nairobi wameshapata PET scanner.

Sent using Jamii Forums mobile app

Make Google your friend.
It still doesn't matter whether it is private or public. It is the first PET scanner in the region.

And which public hospital in Tanzania is getting the PET scanner by the way?
 
Back
Top Bottom