Tanzania among weakest currencies in Africa

Mkuu thamani ya fedha si inashuka na kupanda? Utakumbuka hapo nyuma sh20 yetu ilitwa pound, hii ilitokana thamani £1=sh20 na Zimbabwe wameanza kutumia dollar yao tena. Kumbuka kilicho changia kiasi kikubwa kushusha fedha yetu, ni matumizi makubwa fedha za nje kwenye manunuzi. Juzi kati umemsikia gavana akiziambia Benki kuwa ziende benki kuu kukopa, zipo pesa za kigeni zakutosha kufanya biashara ya kubadilisha pesa za kigeni. Na amini kama sh yetu iko stable una vitu vingi vya mfano. Ila nitakupa mfano nauli ya dala dala ni kati ya R12-R17 wakati sisi ni kati ya SH400-SH700. Ukiconvert rand 1 = sh 164 kwahiyo nauli ya daladala kwa south Africa ukiconvert ni kati sh1900-sh2800 wewe hilo unaona limekaaje? Na ndiyo maana nikaomba wenye weredi na maswala ya fedha watusaidie kutupiga msasa.
Currency inashuka na kupanda kutokana na mahitaji ya fedha hio..., leo tukigundua kikombe cha babu cha kuongeza maisha watu wote duniani wakataka kuja kukinunua basi hao watu watakuwa wanatafuta pesa yetu kwa udi na uvumba na kama watu wanaoitaka ni wengi kuliko uwepo wake basi thamani yake itapanda, kama hamzalishi vitu vya kufanya watu watake pesa yetu au wanaweza wakaja wakatumia zao pesa haitapanda thamani na kubadilisha elfu kumi kuiita sumni hakusaidii sababu itakuwa ni elfu kumi ile ile kwa jina la sumni au itabidi kununua kitu kile kile cha elfu kumi kwa kubeba sumni elfu ishirini
 
Yani we unaakili ndo sana kwa jinsi ulivyoanza hata kuni attack bila kufikiri zimbabwe kimetikea nn sijasema kuwa zimbabwe wametoa zero kwenye pesa yao nimeongelea mfano wa mdororo wa kiuchumi we nadhani hata uelewa wako kiuchumi ujui chochote unatafuta mtu wa kutukanana nae tu mpuuzi we kama unauelewa kiuchumi toa facts sio unataka leta utumbo wako haya sema vp ikitolewa zero itakuaje kama ujui kaa kimya bwege
Ndiyo maana nikatoa angalizo mapema kwa mbulula kama nyinyi, kwahiyo wewe ndiyo umekuja na factor za zimbabwe imedolola kiuchumi baada ya kutoa sifuri? Usitake kuchafua Uzi, kama una cha kuchangia kaa pembeni, sijui swala la kuporomoka kwa dollar ya Zimbabwe haikutokana na kutoa sifuri, unajifanya mjuaji wakati mweupe tu, ndiyo maana tukaomba wajuzi Wa mambo haya. Siyo mbaya hata ukisoma tu, sio kila Uzi ukomenti wakati nyuzi nyingine zimekuzidi umri.
 
Currency inashuka na kupanda kutokana na mahitaji ya fedha hio..., leo tukigundua kikombe cha babu cha kuongeza maisha watu wote duniani wakataka kuja kukinunua basi hao watu watakuwa wanatafuta pesa yetu kwa udi na uvumba na kama watu wanaoitaka ni wengi kuliko uwepo wake basi thamani yake itapanda, kama hamzalishi vitu vya kufanya watu watake pesa yetu au wanaweza wakaja wakatumia zao pesa haitapanda thamani na kubadilisha elfu kumi kuiita sumni hakusaidii sababu itakuwa ni elfu kumi ile ile kwa jina la sumni au itabidi kununua kitu kile kile cha elfu kumi kwa kubeba sumni elfu ishirini
Yaa mkuu tunataka analysis kama hizi zenye mshiko, sio wengine wanakuja na utumbo ili kuchafua uzi.
Nimekusoma vizuri mkuu
 
Ndiyo maana nikatoa angalizo mapema kwa mbulula kama nyinyi, kwahiyo wewe ndiyo umekuja na factor za zimbabwe imedolola kiuchumi baada ya kutoa sifuri? Usitake kuchafua Uzi, kama una cha kuchangia kaa pembeni, sijui swala la kuporomoka kwa dollar ya Zimbabwe haikutokana na kutoa sifuri, unajifanya mjuaji wakati mweupe tu, ndiyo maana tukaomba wajuzi Wa mambo haya. Siyo mbaya hata ukisoma tu, sio kila Uzi ukomenti wakati nyuzi nyingine zimekuzidi umri.

We upeo wako mdogo sana jifunze ata kwa kusoma gazeti wapi nimeandika zimbabwe wametoa sifuri ebu weka msitari nilioandika ivo we una akili hata kidg usikurupuke tu mtt kuna kutetea andiko lako haya niweke wp nimesema zambabwe wametoa zero bwege ujui uchumi uwezi ongea chochote kuhusu uchumi kabla ujaanza kudharau mtu muulize anamaana gani kusema hivyo wenye akili kichwa lakn we unaonekana una ata za kwendea chooni nimeandika sasa we mwenye akili onyesha wp nimesema imetolewa sifuri acha kurukia wanaume kuna kupandwa kijana
 
We elimu yako wazazi wako walipoteza hela yao kukulipia ada primary bora wangenunua mbolea wapandie mahindi wangepata faida una lolote unakuja tu ovyo jifunze
IMG_5385.JPG

Kesho nadhani utakua umejifunza mana umekurupuka tu humu sio instagram yako mjinga we
 
We elimu yako wazazi wako walipoteza hela yao kukulipia ada primary bora wangenunua mbolea wapandie mahindi wangepata faida una lolote unakuja tu ovyo jifunze View attachment 1166724
Kesho nadhani utakua umejifunza mana umekurupuka tu humu sio instagram yako mjinga we
Bora Mimi ambayo wazazi wangu walipoteza ada kuliko wewe waliukulipia ada mpaka hapo ulipo fika alafu kingeleza ujui, usomi wA kcopy na kupaste, umesoma vizuri kilichoandikwa hapo juu? Au ili uonekane unajua kingeleza, usomi ni pamoja kulewa, hata ulicho ulichokicopy hukijui,. Nina mashaka na elimu yako. Na ndiyo maana nasisitiza ni hekima vile vile ukakaa pembeni kujifunza I'll ujuzi Wa mambo wakakufundisha.
 
We upeo wako mdogo sana jifunze ata kwa kusoma gazeti wapi nimeandika zimbabwe wametoa sifuri ebu weka msitari nilioandika ivo we una akili hata kidg usikurupuke tu mtt kuna kutetea andiko lako haya niweke wp nimesema zambabwe wametoa zero bwege ujui uchumi uwezi ongea chochote kuhusu uchumi kabla ujaanza kudharau mtu muulize anamaana gani kusema hivyo wenye akili kichwa lakn we unaonekana una ata za kwendea chooni nimeandika sasa we mwenye akili onyesha wp nimesema imetolewa sifuri acha kurukia wanaume kuna kupandwa kijana
Sikushangai maana avatar yako ina reflect kilicho kichwani mwako. Mwana izaya utamjua hata achanganyike na maelfu ya watu.
 
Bora Mimi ambayo wazazi wangu walipoteza ada kuliko wewe waliukulipia ada mpaka hapo ulipo fika alafu kingeleza ujui, usomi wA kcopy na kupaste, umesoma vizuri kilichoandikwa hapo juu? Au ili uonekane unajua kingeleza, usomi ni pamoja kulewa, hata ulicho ulichokicopy hukijui,. Nina mashaka na elimu yako. Na ndiyo maana nasisitiza ni hekima vile vile ukakaa pembeni kujifunza I'll ujuzi Wa mambo wakakufundisha.

Nakupa pole we mwenye kujua kingereza vizur
 
Sikushangai maana avatar yako ina reflect kilicho kichwani mwako. Mwana izaya utamjua hata achanganyike na maelfu ya watu.

Tulia we ck kwa matusi hapa ebu fanya kazi sio unajibu ujinga
 
Nakupa pole we mwenye kujua kingereza vizur
Tusitafutiane ban, mleta made anasema kwanini swerikali itoe sifuri moja $1=sh230 umekuja na hoja yako ya Zimbabwe kudolola.
Umeleta paste yako ambayo inaeleza mfumoko Wa bei wakati si sawa kwetu hakuna mfumuko wa bei Wa kuifananisha na zimbabwe , unakuja na matusi na kejeli, uoni kama ulicho changia akiendani na maitaji ya mleta mada? Na ndiyo maana Mimi nikachangia kama Zambia imefanya hivyo na msumbiji imefanya hivyo, wewe ukaja na hoja yako ya Zimbabwe, uoni kama umekurupuka! Na ndiyo maana sisi maamuma Wa mambo haya tukaomba wajuvi wa mambo haya watupe somo. Wewe ume copy kitu ambacho ni tofauti na maitaji ya mleta mada.
 
Sijawa
Tulia we ck kwa matusi hapa ebu fanya kazi sio unajibu ujinga
Sijawahi kupata ban toka nijiunge na jf ila wewe naona unataka kunitafutia ban. Tushindane kwa hoja sio matusi na kejeli, usitake kujua rangi zetu.
 
We mwanzo ulianza na hoja haya umeshinda ili usipate ban asubuhi njema
 
Mkuu thamani ya fedha si inashuka na kupanda? Utakumbuka hapo nyuma sh20 yetu ilitwa pound, hii ilitokana thamani £1=sh20 na Zimbabwe wameanza kutumia dollar yao tena. Kumbuka kilicho changia kiasi kikubwa kushusha fedha yetu, ni matumizi makubwa fedha za nje kwenye manunuzi. Juzi kati umemsikia gavana akiziambia Benki kuwa ziende benki kuu kukopa, zipo pesa za kigeni zakutosha kufanya biashara ya kubadilisha pesa za kigeni. Na amini kama sh yetu iko stable una vitu vingi vya mfano. Ila nitakupa mfano mmoja nauli ya dala dala south africa ni kati ya R12-R17 wakati sisi ni kati ya SH400-SH700. Ukiconvert rand 1 = sh 164 kwahiyo nauli ya daladala kwa south Africa ukiconvert ni kati sh1900-sh2800 wewe hilo unaona limekaaje? Na ndiyo maana nikaomba wenye weredi na maswala ya fedha watusaidie kutupiga msasa.
Mkuu Nauli kwa South Africa kwa Tax zao sehemu nyingine ni pungufu ya R10....

Pia usione kuwa ni nyingi wakati wanetuzidi kipato na kila kitu....

Kama ukitumia njia yako kuweka hoja yako then tumia pia DOLLA ya Marekani....

From point A to B kwa public Bus $ 1 - $ 5 = 2,300 - 12,000 per day. ..
Wako juu kuliko SA kwa kila kitu. .
 
Tusitafutiane ban, mleta made anasema kwanini swerikali itoe sifuri moja $1=sh230 umekuja na hoja yako ya Zimbabwe kudolola.
Umeleta paste yako ambayo inaeleza mfumoko Wa bei wakati si sawa kwetu hakuna mfumuko wa bei Wa kuifananisha na zimbabwe , unakuja na matusi na kejeli, uoni kama ulicho changia akiendani na maitaji ya mleta mada? Na ndiyo maana Mimi nikachangia kama Zambia imefanya hivyo na msumbiji imefanya hivyo, wewe ukaja na hoja yako ya Zimbabwe, uoni kama umekurupuka! Na ndiyo maana sisi maamuma Wa mambo haya tukaomba wajuvi wa mambo haya watupe somo. Wewe ume copy kitu ambacho ni tofauti na maitaji ya mleta mada.[/QUOTE we jamaa unamatatizo gani nimekwambia toka mapema wp niliandika umeshindwa umekuja na kejeli tu sasa uoni we ndo mwenye matatizo we unadhani kutoa hiyo zero akuna madhau au unataka kujiona unajua sana mana sielewi huna hoja yoyote zaidi ya kubwata tu we sema akuna madhara mara umesema zimbabwe awakutoa zero sasa sijui hoja yako nn weka kama una hoja sema faida sasa ya kutoa zero kama huna unataka matusi bsi mi naishia hapo we mtu wakutoa kasoro zarau nyingi alafu sio kuongea chochote kiuchumi alafu ndo unajua sana sipo hapa kukufanya we upewe ban kama umeona nimekosea kwenye comment yng wenzio humu wanajibu kwa hoja sasa mara kingereza ujui mi sielewi we unataka nn
 
Currency inashuka na kupanda kutokana na mahitaji ya fedha hio..., leo tukigundua kikombe cha babu cha kuongeza maisha watu wote duniani wakataka kuja kukinunua basi hao watu watakuwa wanatafuta pesa yetu kwa udi na uvumba na kama watu wanaoitaka ni wengi kuliko uwepo wake basi thamani yake itapanda, kama hamzalishi vitu vya kufanya watu watake pesa yetu au wanaweza wakaja wakatumia zao pesa haitapanda thamani na kubadilisha elfu kumi kuiita sumni hakusaidii sababu itakuwa ni elfu kumi ile ile kwa jina la sumni au itabidi kununua kitu kile kile cha elfu kumi kwa kubeba sumni elfu ishirini
DOLLA ndo sarafu inayotafutwa zaidi duniani Mkuu, kwa mfano uloutoa mbona kuna nchi zimeizidi thamani DOLLA japo hazina Uchumi mkubwa....

Nadhani tunachanganya UCHUMI WA NCHI na THAMANI YA SARAFU ni vitu viwili tofauti japo vyaenda sambamba.
 
kwahio kuna tshs 5 lakini hakuna kitu cha tshs 5 (cost za kutengeneza hio tshs tano goes to waste)
Kuna vitu vya elfu 10 lakini hakuna tshs elfu 10 (ukitaka kununua gari kwa cash inabidi ubebe briefcase za kutosha au unakuja na pick up imejaa pesa ili ununue baiskeli ?

By the way watu tunataka kwenda kwenye electronic currency haya mambo ya coins na notes ni zama za kale...

Ukibadili na thamani inabadirika
Dola itakuwa 230 badala ya 2300
Ko kila kitu kinabaki the same
 
Sijasema zimbabwe wamefanya utoaji wa zero nimeongelea mdororo wa uchumi mkuu soma text yng vizur

Ndo mana nasema kama kuna inflation kutoa zeros hakuna maana coz hella itajibalance tu na kurudi ulikozani unatoka
Ninachosema sahv dolla haipandi so tutoa zeros kutakuwa hamna effect
 
Mkuu Nauli kwa South Africa kwa Tax zao sehemu nyingine ni pungufu ya R10....

Pia usione kuwa ni nyingi wakati wanetuzidi kipato na kila kitu....

Kama ukitumia njia yako kuweka hoja yako then tumia pia DOLLA ya Marekani....

From point A to B kwa public Bus $ 1 - $ 5 = 2,300 - 12,000 per day. ..
Wako juu kuliko SA kwa kila kitu. .
Mkuu unajua nauli ya shoshanguve mboopane mamelodi,atteridgeville, kutoka Pretoria CBD ni rand ngapi?
Hiyo rand 10 na saba ni local ya location, nimekupa nauli za daladala za mji mkuu sio za mpumalanga wala mafikeng
 
Currency inashuka na kupanda kutokana na mahitaji ya fedha hio..., leo tukigundua kikombe cha babu cha kuongeza maisha watu wote duniani wakataka kuja kukinunua basi hao watu watakuwa wanatafuta pesa yetu kwa udi na uvumba na kama watu wanaoitaka ni wengi kuliko uwepo wake basi thamani yake itapanda, kama hamzalishi vitu vya kufanya watu watake pesa yetu au wanaweza wakaja wakatumia zao pesa haitapanda thamani na kubadilisha elfu kumi kuiita sumni hakusaidii sababu itakuwa ni elfu kumi ile ile kwa jina la sumni au itabidi kununua kitu kile kile cha elfu kumi kwa kubeba sumni elfu ishirini

Ulichoandika ni sahihi
Ila kuna kupandisha thamani ya shilingi kwa kutoa zeros(fatilia), nchi kadhaa wamefanya
 
Back
Top Bottom