Tanzania and Kenya agree to end trade dispute

Tufikirie nini wakati we're on track. The needle is turning in our favor ndio maana wakenya mnakuja kusema tukubaliane tumalize huu mchezo wa tit-for-tat.
huo ni upumbavu wa hali ya juu....knyans think business...not tit for tat kiddish games za nursery school...
 
Unasahau hata sisi we're thinking business too, mlipo bana gesi kuja kwenu ilikuwa business loss, mlipo bana tour van another business loss, mlipo bana wheat flour tulipata hasara pia. Sio Kenya pekeyake ndio inajuwa nini maana ya biashara hata sisi tunalinda maslai yetu.

Haya maneno kutoka kwa GoT official

"Tanzania will not sit idly as its traders are denied entry into Kenya for no good reason. This will not happen.
We are weighing all our options and they are several, which I may not want to state,"
 
huo ni upumbavu wa hali ya juu....knyans think business...not tit for tat kiddish games za nursery school...
The truth ni kwamba Kenya inategemea sana Tz Ku survive economically, tukisema tusitumie Bidhaa hata moja ya Kenya na tusiwauzie chochote kutoka Tz Uchumi wenu utaterereka sana na Hiyo nchi Mtaikimbia.
 
sasa nyie ni nchi maskini wa kutupwa msio fanya biashara sana mnatubabaisha na nini....soko tukitaka tunapata nje sio lazma tubembeleze nchi LDC
we jamaaah wanifuraisha kwaiy nyie tajiri?....
 
for me Kenyan are the poorest people in the region the same as burundian but their Gpd is biggest# so ukubwa wa GDP unawadanganya sana wakenya # kwa mfano hapa South Amerika nchi yenye Gdp kubwa ni Brazil lakin sio developed ni maskin tu ukifananisha na chile ambayo Gdp yake ndogo lakin ndio the most and the only developed country in south america and Latin America as well# Nilichogundua wakenya wengi ni ignorant elimu zao ni zakukalili tu
 
Hehe good job MAGUFULI 60% drop is not that bad kindly add a little bit more digits we need it to be 89% sharpened down deep fall, at least itapendeza.
 
The truth ni kwamba Kenya inategemea sana Tz Ku survive economically, tukisema tusitumie Bidhaa hata moja ya Kenya na tusiwauzie chochote kutoka Tz Uchumi wenu utaterereka sana na Hiyo nchi Mtaikimbia.
Hahaaaa wabongo huwa mnafurahisha sana
 
for me Kenyan are the poorest people in the region the same as burundian but their Gpd is biggest# so ukubwa wa GDP unawadanganya sana wakenya # kwa mfano hapa South Amerika nchi yenye Gdp kubwa ni Brazil lakin sio developed ni maskin tu ukifananisha na chile ambayo Gdp yake ndogo lakin ndio the most and the only developed country in south america and Latin America as well# Nilichogundua wakenya wengi ni ignorant elimu zao ni zakukalili tu
Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions
 
Nilisikia eti wanatoroka utajiri wa tanzania! 😀
 
Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions
Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions
To be honest hao ombaomba si watanzania kwa maana navyojua serikali inawapa pesa maskini wote watanzania tena hata wale ambao si walemavu kwahyo na disabled pia wanapewa pesa kila mwezi Tanzania watu wake wanaishi vzur maskini watanzania hafi njaa kabsa. Tanzania have the best inclusive economy in the world # Nakata tena hao sio watanzania watuonyeshe passport za Tanzania# kujua kiswahili vizuri sio sababu ya kuthibisha kuwa hao ni watanzania
 
Back
Top Bottom