Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
huo ni upumbavu wa hali ya juu....knyans think business...not tit for tat kiddish games za nursery school...Tufikirie nini wakati we're on track. The needle is turning in our favor ndio maana wakenya mnakuja kusema tukubaliane tumalize huu mchezo wa tit-for-tat.
Unasahau hata sisi we're thinking business too, mlipo bana gesi kuja kwenu ilikuwa business loss, mlipo bana tour van another business loss, mlipo bana wheat flour tulipata hasara pia. Sio Kenya pekeyake ndio inajuwa nini maana ya biashara hata sisi tunalinda maslai yetu.huo ni upumbavu wa hali ya juu....knyans think business...not tit for tat kiddish games za nursery school...
The truth ni kwamba Kenya inategemea sana Tz Ku survive economically, tukisema tusitumie Bidhaa hata moja ya Kenya na tusiwauzie chochote kutoka Tz Uchumi wenu utaterereka sana na Hiyo nchi Mtaikimbia.huo ni upumbavu wa hali ya juu....knyans think business...not tit for tat kiddish games za nursery school...
we jamaaah wanifuraisha kwaiy nyie tajiri?....sasa nyie ni nchi maskini wa kutupwa msio fanya biashara sana mnatubabaisha na nini....soko tukitaka tunapata nje sio lazma tubembeleze nchi LDC
Hahaaaa wabongo huwa mnafurahisha sanaThe truth ni kwamba Kenya inategemea sana Tz Ku survive economically, tukisema tusitumie Bidhaa hata moja ya Kenya na tusiwauzie chochote kutoka Tz Uchumi wenu utaterereka sana na Hiyo nchi Mtaikimbia.
Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotionsfor me Kenyan are the poorest people in the region the same as burundian but their Gpd is biggest# so ukubwa wa GDP unawadanganya sana wakenya # kwa mfano hapa South Amerika nchi yenye Gdp kubwa ni Brazil lakin sio developed ni maskin tu ukifananisha na chile ambayo Gdp yake ndogo lakin ndio the most and the only developed country in south america and Latin America as well# Nilichogundua wakenya wengi ni ignorant elimu zao ni zakukalili tu
Nilisikia eti wanatoroka utajiri wa tanzania! 😀Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilisikia wanatoroka utajiri wa tanzania! 😀
Haya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions
To be honest hao ombaomba si watanzania kwa maana navyojua serikali inawapa pesa maskini wote watanzania tena hata wale ambao si walemavu kwahyo na disabled pia wanapewa pesa kila mwezi Tanzania watu wake wanaishi vzur maskini watanzania hafi njaa kabsa. Tanzania have the best inclusive economy in the world # Nakata tena hao sio watanzania watuonyeshe passport za Tanzania# kujua kiswahili vizuri sio sababu ya kuthibisha kuwa hao ni watanzaniaHaya mbna kuna omba omba wa Tanzania Kenya ilhali hakuna omba omba wa Kenya Tanzania au nchi nyingine ya east Africa? Tuelezee hio bila emotions