Tanzania and Kenya soon to fight

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
As the battlefield continue to gain the heat, soon the air will be filled with smoke coming from explosives. If the authorities don't come and easy the situation, we will experience the unexpected.

The social media is buzzing, exchange of hush word to national Leaders, intensified security at border points, denied entries for the name of Covid19.

If we are not careful enough in the way we address Covid19 then it's true then the mission is complete by those who manufactured the viruses.

Kenyans in Tanzania are being denied to social services due to what called " Kenya Media attack to Magufuli" . Tanzania has been silent but time has reached its peak.

Let's get it on!!
 
Kenya will be fools to start another front and this time right from behind. The front is on fire from alshabab now to start another war with another powerful state. That is suicide of which I think Kenyatta is not ready. Hata kama mukutano yenyu ya jusi ilikuwa ni kutiana ujinga haiwesi kuwa ujinga kubwa hifyo.;
There will be no war but jus a war of words. From the Nyangaus
 
Hatuwezi pigana physically... Ila kunyooshana muhimu,na mmoja lazima anyooke.
 
Kaka kuna chombo cha habari kinaitwa OperaNews...kinamilikiwa na Mediamax kampuni ya Kenya yenye K24 TV.....ndg yangu kuna matusi na kejeri za kutosha Kwa Rais wetu hutokaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Trump anatukanwa tu mitandaoni. Wakenya wana freedom ya mitandaoni kuliko waTz....sisi hata kukosoa serikali unaweza kwenda na maji.
 
Aisee, vita kisa tu maneno haya matatu, 'UKAIDI WA MAGUFULI' na kirusi cha COVID-19? Hold your horses! Huu ushabiki wenu wa kimaandazi utakuwa umevunja rekodi zaidi ya kumi. Kwani kuna kitu gani special kwa rais mmoja tu kati ya wengine ambao wametawala Tz? Au hata kiongozi yeyote A.M? M7 ameitwa dikteta na 'kachapin' kwa miaka mingi, Uhuru Kenyatta akaitwa 'kifaranga wa kompyuta'. Mbona siku zote hizo hatujasikia fununu au hata malumbano yeyote kwasababu ya vitu simpo kama hivyo?
 
Uhuru wao wafanyie kwao kwa Taifa lao sio Kwetu,! Kila kitu kina ukomo wake, awali niliwahi andika mahali kuwa wengi wa wanao ikejeli Tanzania na uongozi wake wanajinasibisha na Kenya.!
Kuna yule mpuuzi kule twitter kwa jina la kigogo! Kwanini anautambulisho wa Bendera ya Kenya,? Linaweza kuwa jambo dogo lakini kwa namna anavyowasilisha hoja zake kwa Nchi hii.
Jaribu kuwaza kama ingekuwa kinyume chake yaani awe anaiandama serikali ya Kenya kisha ana utambulisho wa Tanzania Je wakenya wangekaa kimya?

Inakera sana! Ukiwa Mtanzania halisi jambo hili huwezi lifurahia katu..
Mbona Trump anatukanwa tu mitandaoni. Wakenya wana freedom ya mitandaoni kuliko waTz....sisi hata kukosoa serikali unaweza kwenda na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nyinyi [emoji205][emoji205]wa kenya mmeanza kutumika kama vibaraka wa [emoji63][emoji63] dhidi ya tz

Send by APOLO 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…