Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
simaanishi vita ya vifaru ila hujuma na fitinawale majenerali wote wa uganda akina marehemu james kazini na akina muhoozi kainerugaba wamefundishwa monduli chini ya majenerali wetu hodari gidion sayore,mirisho sarakikya,hashim mbita na wengineo.
kwa hivyo hata uganda hawatusumbui kiviile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app