Tanzania and Kenya soon to fight

simaanishi vita ya vifaru ila hujuma na fitina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your write is war it self...!
 
Leo mnamwita Magu mkaidi,wakati mmejifungia ndani,sisi tunapiga kazi,njaa ikianza kuwatafuna ndio mtajua mkaidi ni Magu ama mlevi wenu kenyata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni mashemeji zetu,dada zao wapo Tanzania,wajomba zao wapo Tanzania,hatuwezi pigana nao kamwe,hatuwezi tuma majeshi yetu kwao,ila wakijaribu kuvuka mpaka wa Tanzania kwa ajili ya vita,hatutowaacha salama,tutaenda ivuruga Nairobi vibaya mno.
Mungu inariki Tanzania,Mungu ibariki Kenya
Sote ni ndugu
 
Mbona Trump anatukanwa tu mitandaoni. Wakenya wana freedom ya mitandaoni kuliko waTz....sisi hata kukosoa serikali unaweza kwenda na maji.
Kutumia lugha chafu ya matusi ndio unakuita kukosoa?
 
Ila mada ya kipuuzi Kama imeandikwa na mtoto wa mitaani yule anaependa ugomvi mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya and Tanzania are in fact forming one Country very soon. By 2023 we might not even have a Tanzania and Kenya as plans advance towards the EAC unification.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KDF wale mdebwedo..najua wale mashehe al-muslim harakat al-mujahdeen shabaab hamuwezani nao. .
Basi malizaneni na ethiopia kwanza waliotungua ndege yenu



Nb; ila waethiopia ni wababe na jeuri sana aisee yaani wanatungua ndege kisha wanajisema "sisi ndo tumetungua ndege ya kenya amueni la kufanya sasa"
Dah!!!!!🤣🤣😂😂 Hii dharau sasa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu Kenya ikafyata mkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…