Tanzania and Kenya to Share Experience on Housing and Urban Development

Tanzania and Kenya to Share Experience on Housing and Urban Development

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,345
Reaction score
5,718
Screenshot_20211211-105632.jpg
 
Ama hakika hujaelewa. Sasa hapo si wameandika wata share know-how
 
Dar inahitaji ifumuliwe na kujengwa upya au kama vipi mhamie Dodoma....huo mji haukupangwa kabisa.
 
Hapo kenya Anataka kujifunza maujuzi ya national housing coorperation
 
Yaani mmiliki wa slum duniani amsaidie mwenye unplanned settlements. Tofauti ya Tz na Kenya iko hapa Tz haina slums ila ina huge unplanned settlents while Kenya owns huge slums.

Nashukuru kwamba hili somo limeeleweka sasa kati ya unplanned settlements vs slums.
The Decision rule is: Not all unplanned settlements are slums, but all slums are unplanned settlements.

Sasa kama ulivyosema, amalize kwanza kupanga hizo slums za huko Gorogocho, ndiyo aje atuambie kuhusu kupanga miji.
 
Yaani mmiliki wa slum duniani amsaidie mwenye unplanned settlements.Tofauti ya Tz na Kenya iko hapa Tz haina slums ila ina huge unplanned settlents while Kenya owns huge slums.
Wee beachi kidimbwi hebu skiza hapa...kenya is a very well planned country.. ile slum unasema ni kibera na ni kajisehemu kadooooogo sana ndani ya nairobi ..yaani kadogo sana...na ujue hili kuanzia leo....muonekano wa kibera ni kama dar esaalam sehemu sana...ukiwa dar hutajua hili kwa maana sehemu kubwa ya mji wa dar ni slum tupu ndio kwa maana
 
Wee beachi kidimbwi hebu skiza hapa...kenya is a very well planned country.. ile slum unasema ni kibera na ni kajisehemu kadooooogo sana ndani ya nairobi ..yaani kadogo sana...na ujue hili kuanzia leo....muonekano wa kibera ni kama dar esaalam sehemu sana...ukiwa dar hutajua hili kwa maana sehemu kubwa ya mji wa dar ni slum tupu ndio kwa maana

Ni mtazamo wako na wakenya wenzako ndiyo unaoonesha kwamba slum ya kibera ni ndogo, lkn mtazamo wa dunia ni kuwa kibera is among the largest slums on earth.

Kama hutaki nenda ka hug transformer.
 
TZ hatuna slums labda huko kwenyu Mathare
Si eti hamna slums ...dar yote ni slums isipokuwa masaki na kinondoni...but the rest of the so called city is slum...kama vile mathare
 
TZ hatuna slums labda huko kwenyu Mathare

UNACHOSEMA WEWE HUJUI KABISAA, NIMESHASEMA MARA NYINGI TUU...TANZANIA YOTE NI SLUMS TUPU...MPAKA KIWANGO HAMJUI TOFAUTI YA SLUMS NA ORGANIZED LIVING STANDARDSS...MNACHO KIITA MATHARE NA KIBERA NDIO MAKAAZI YENU YA KAWAIDA HUKO TZ..KENYA SISI NDIO TUNAZO SLUMS MBILI TATU HIVI LAKINI...SEHEMU KUBWA YA NCHI YETU NI ORGANIZED LIVABLE HABITAT...YAANI MITAA TEU NI YA KIZUNGU HIVI VERY ORGANIZED AND NEAT PLEASE CHECK THE PICTURES BELOW FOR NAIROBI ESTATES.
1643689041635.png


1643689065916.png



1643689084139.png



1643689145823.png



1643689172503.png



1643689233909.png



1643689291825.png



1643689343018.png



1643689412476.png



1643689437165.png


1643689466233.png



1643689489968.png



1643689531885.png



1643689568238.png



1643689589650.png



1643689662796.png



1643689679545.png



1643689715761.png



1643689750016.png



1643689771452.png



1643689806861.png



1643689831633.png



1643689853083.png



1643689892519.png



1643690121374.png



1643690141504.png



1643690160851.png



1643690194358.png



1643690225568.png



1643690251798.png
 
Karibu nusu ya jiji la nairobi wanaishi katika ni slums! tena za kupangishwa, wanapanga mabati, mtaifundisha nini Tanzania isiyokuwa na slums?
 
Back
Top Bottom