1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi.
Pia viongozi na mashabiki wa hizi timu wamekuwa wakiamini ktk ushirikina mpk wameunda kitu kinaitwa "Kamati ya Ufundi".
Leo kumetokea vurugu pale uwanja wa Mkapa majira ya saa 2 usiku, Simba wakitaka kuingia kufanya mazoezi, lkn Yanga wakiamini Simba anaingia kuroga.
3. Albino wanauawa sana kipindi cha uchaguzi kwa vile tu kuna Imani ya kishirikina kuwa viungo vya albino vinasaidia wagombea kushinda uchaguzi.
4. Wafanyabiashara wanafuga paka madukani mwao wakiamini wanasaidia kuvuta wateja.
Taifa la kishirikina hili.