Tanzania bado ni LDC

Tanzania bado ni LDC

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuna watu wanaopotosha watu humu ndani eti T.Z imekuwa middle income. Lakini nijuavyo, World bank bado wanaitaja T.Z kama LDC. Kwa hivyo tuwache kupotoshana humu ndani. Cicero
 
Weka ushahidi siyo maneno tu
 
Kuna watu wanaopotosha watu humu ndani eti T.Z imekuwa middle income. Lakini nijuavyo, World bank bado wanaitaja T.Z kama LDC. Kwa hivyo tuwache kupotoshana humu ndani. Cicero
kwa list hii hapa, katika EAC block ni Kenya tu ndiyo hawamo kwenye LDC bracket.

Tanzania bado sana - in fact situation inazidi ku worsen as we speak.

1126982
 
Kuna watu wanaopotosha watu humu ndani eti T.Z imekuwa middle income. Lakini nijuavyo, World bank bado wanaitaja T.Z kama LDC. Kwa hivyo tuwache kupotoshana humu ndani. Cicero
Hatufanyi conversation na lower developing countries hamkawii kutupiga vizinga vya chakula na madawa.
 
Waache tu wapige push-ups
 
Attachments

  • g6.jpg
    g6.jpg
    41.1 KB · Views: 13
  • g7.jpg
    g7.jpg
    40.4 KB · Views: 17
  • IMG-20150922-WA0005.jpg
    IMG-20150922-WA0005.jpg
    32.1 KB · Views: 15
😂😂😂Tz imekuwa LDC since 1971 enzi za Mwangusha uchumi was Bongo Mwalimu Julius Kabarage Nyelele. 🤣🤣🤣
 
Hatufanyi conversation na lower developing countries hamkawii kutupiga vizinga vya chakula na madawa.
Dah asee ,nyie Kenya wafa njaa Turkana tutawaomba nn?! Ilhali nyie kwenu njaa tupu madaktar wanagomaa hatuwez kuwaomba kwa disaster mlizonazo!
Then vipi kuhusu SGR nyie middle class income ?!
 
Umesoma code kwenye ID mkuu?.
 
Back
Top Bottom