Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa list hii hapa, katika EAC block ni Kenya tu ndiyo hawamo kwenye LDC bracket.Kuna watu wanaopotosha watu humu ndani eti T.Z imekuwa middle income. Lakini nijuavyo, World bank bado wanaitaja T.Z kama LDC. Kwa hivyo tuwache kupotoshana humu ndani. Cicero
Hatufanyi conversation na lower developing countries hamkawii kutupiga vizinga vya chakula na madawa.Kuna watu wanaopotosha watu humu ndani eti T.Z imekuwa middle income. Lakini nijuavyo, World bank bado wanaitaja T.Z kama LDC. Kwa hivyo tuwache kupotoshana humu ndani. Cicero
😂😂😂Tz imekuwa LDC since 1971 enzi za Mwangusha uchumi was Bongo Mwalimu Julius Kabarage Nyelele. 🤣🤣🤣
Subiri IMF waje wakuelekeze,ndio ujidharau.kwa list hii hapa, katika EAC block ni Kenya tu ndiyo hawamo kwenye LDC bracket.
Tanzania bado sana - in fact situation inazidi ku worsen as we speak.
View attachment 1126982
Dah asee ,nyie Kenya wafa njaa Turkana tutawaomba nn?! Ilhali nyie kwenu njaa tupu madaktar wanagomaa hatuwez kuwaomba kwa disaster mlizonazo!Hatufanyi conversation na lower developing countries hamkawii kutupiga vizinga vya chakula na madawa.
ya IMF kwa Tanzania ndiyo haifai kabisa - bora hii!Subiri IMF waje wakuelekeze,ndio ujidharau.
Umesoma code kwenye ID mkuu?.Dah asee ,nyie Kenya wafa njaa Turkana tutawaomba nn?! Ilhali nyie kwenu njaa tupu madaktar wanagomaa hatuwez kuwaomba kwa disaster mlizonazo!
Then vipi kuhusu SGR nyie middle class income ?!