Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti kwenye nchi hii?Ndio.
Nimeipenda hiyo ya "makapuku dhidi ya mafisadi na machawa wao" nimeipendaTulishaondoka huko kitambo sana, hiyo Tz ya hivyo aliondoka nayo Nyerere kwa sasa ni nchi ya makapuku na mafisadi na chawa wao! Lazima uwe kwenye kundi moja kati ya hayo mawili kwa sasa
Wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti kwenye nchi hii?
Kivipi? Maana kiuhalisia sioni kama hali iko hivyo!Sijajua, lakini hii nchi bado ni ya wakulima na wafanyakazi.
Kivipi? Maana kiuhalisia sioni kama hali iko hivyo!
ndio gentleman,Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa.
Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho kwenye uendeshaji wa nchi yetu?
Si kweli... Kuzikwa kwa Azimio ndiko kulikozika jembe na nyundo! Hata bendera ya ccm siyo relevant tena!Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa.
Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho kwenye uendeshaji wa nchi yetu?