now arabs are really investing in tanzania. This country should change name to ' arabu republic of indian tanzania... Fotseki
Arabs are part and parcel of this country, who knows if this is not their native land?
Mr zoma, arabs are slave traders. They come from the middle east. They have no value or respect for blacks. By the way do u know who has bought serengeti? Am not surprised that now they have convinced black tanzanians to fight for the lake nyasa. Gues who will win? Its the same arabs that will grab the lake.
Sheria zipi?au unazungumzia hizo za Chama cha mabwepande za kulindana uingereza ilisema tukamate wezi wa Rada lakini mpaka Leo tumeuchunaZipi safi, za Mbowe za kuuza ulevi na binaadam pale bilicanas?
Hakuna mgeni anaewekeza Tanzania bila kufata sheria zilizowekwa na nchi.
Kaama unachuki binafsi na wageni, huo ni ubaguzi wako binafsi na usiuingize hapa.
Onesha hizo pesa chafu ziko wapi? kuna mahala pa kuripoti pesa chafu, hupajui? kama hupajui unaweza weka ushahidi humu JF lakini sio kuja na kuanza kutaja mataifa ya watu. Tanzania haikuundwa na kabila moja.
Kuna watu humu wa Mataifa tofauti kabla ya babu yako kuja kwenye hii ardhi, chunga sana. Soma historia, hao kina Rostam unaowataja, hao hao ndio washirazi unaowasikia waliojaa katka pwani ya afrika mashariki, unaweza kusema walikuja lini hapa? Vasco Da Gama aliwakuta hapa, sasa sijui utasema nini?
Hao Wasimali kuna waliopo Tanganyika hii kabla hata ya ujio wa babake Nyerere hapa Tanganyika. Unajuwa kuwa yule hana asili ya Tanganyika? au hujui, kama unajuwa sasa kaa kimya au kwanza tumuongelee yeye, vipi mgeni, awe baba'enu?
Hivi wewe ni mtu wa wapi usiyeyajuwa hayo?
Na hiyo aridhi inahamia kwa hao maharamia ya kisomaliMalawi.
Na hiyo aridhi inahamia kwa hao maharamia ya kisomali
Sheria zipi?au unazungumzia hizo za Chama cha mabwepande za kulindana uingereza ilisema tukamate wezi wa Rada lakini mpaka Leo tumeuchuna
Hivi al-shababu hichi kikundi sio Haramu?Maharamia ni watu kama wewe mnaowapachika watu majina yasiyofaa kwa chuki tu za kijinga, Wasomali wamekufanyia haramu ipi hata uwaite maharamia? au?
Anayetakiwa kuanza ni Yule mwenyekiti wa Chama cha mabwepande aliyenda huko kwaajili ya semina ya family planning badala ya kwenda waziri husikaUingereza wamekwambia uukubali ushoga vile vile vipi umeshaanza?
Anayetakiwa kuanza ni Yule mwenyekiti wa Chama cha mabwepande aliyenda huko kwaajili ya semina ya family planning badala ya kwenda waziri husika
Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?Ni kweli ni hela za maharamia wa kisomali.
Lakini baada ya kutaitiwa kimataifa sijui kama mtoa mada amefika sehemu hiyo.
Leo ni magofu matupu, pesa imekauka!
Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?[/QUOTE]
Mkuu kuna mada ya siku nyingi hapa JF, Jamii Intelligence kule iliyoletwa naLole Gwakisa.Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?
Maharamia ni watu kama wewe mnaowapachika watu majina yasiyofaa kwa chuki tu za kijinga, Wasomali wamekufanyia haramu ipi hata uwaite maharamia? au?
Hizi siyo zile hela za maharamia wa Kisomali kweli? Wamechoka kuziwekeza Kenya?