Tanzania: Bahari Beach Satellite City

Tanzania: Bahari Beach Satellite City

now arabs are really investing in tanzania. This country should change name to ' arabu republic of indian tanzania... Fotseki
 
now arabs are really investing in tanzania. This country should change name to ' arabu republic of indian tanzania... Fotseki

Arabs are part and parcel of this country, who knows if this is not their native land?
 
Mr zoma, arabs are slave traders. They come from the middle east. They have no value or respect for blacks. By the way do u know who has bought serengeti? Am not surprised that now they have convinced black tanzanians to fight for the lake nyasa. Gues who will win? Its the same arabs that will grab the lake.

Arabs were here buying slaves from whom?
 
infact they used guns to grab black africans and sell them to the west. You quest is rhetoric but had to ans u fo respect. To say they bought humans is being dishonest. They stil killing housemaids working in the middle east today. They have no value for blacks. Did u know is trying to grab serengeti? R u arabu
QUOTE=zomba;4418542]Arabs were here buying slaves from whom?[/QUOTE]
 
Zipi safi, za Mbowe za kuuza ulevi na binaadam pale bilicanas?

Hakuna mgeni anaewekeza Tanzania bila kufata sheria zilizowekwa na nchi.

Kaama unachuki binafsi na wageni, huo ni ubaguzi wako binafsi na usiuingize hapa.

Onesha hizo pesa chafu ziko wapi? kuna mahala pa kuripoti pesa chafu, hupajui? kama hupajui unaweza weka ushahidi humu JF lakini sio kuja na kuanza kutaja mataifa ya watu. Tanzania haikuundwa na kabila moja.

Kuna watu humu wa Mataifa tofauti kabla ya babu yako kuja kwenye hii ardhi, chunga sana. Soma historia, hao kina Rostam unaowataja, hao hao ndio washirazi unaowasikia waliojaa katka pwani ya afrika mashariki, unaweza kusema walikuja lini hapa? Vasco Da Gama aliwakuta hapa, sasa sijui utasema nini?

Hao Wasimali kuna waliopo Tanganyika hii kabla hata ya ujio wa babake Nyerere hapa Tanganyika. Unajuwa kuwa yule hana asili ya Tanganyika? au hujui, kama unajuwa sasa kaa kimya au kwanza tumuongelee yeye, vipi mgeni, awe baba'enu?
Hivi wewe ni mtu wa wapi usiyeyajuwa hayo?
Sheria zipi?au unazungumzia hizo za Chama cha mabwepande za kulindana uingereza ilisema tukamate wezi wa Rada lakini mpaka Leo tumeuchuna
 
Na hiyo aridhi inahamia kwa hao maharamia ya kisomali

Maharamia ni watu kama wewe mnaowapachika watu majina yasiyofaa kwa chuki tu za kijinga, Wasomali wamekufanyia haramu ipi hata uwaite maharamia? au?
 
Sheria zipi?au unazungumzia hizo za Chama cha mabwepande za kulindana uingereza ilisema tukamate wezi wa Rada lakini mpaka Leo tumeuchuna

Uingereza wamekwambia uukubali ushoga vile vile vipi umeshaanza?
 
Uingereza wamekwambia uukubali ushoga vile vile vipi umeshaanza?
Anayetakiwa kuanza ni Yule mwenyekiti wa Chama cha mabwepande aliyenda huko kwaajili ya semina ya family planning badala ya kwenda waziri husika
 
Anayetakiwa kuanza ni Yule mwenyekiti wa Chama cha mabwepande aliyenda huko kwaajili ya semina ya family planning badala ya kwenda waziri husika

Mbona swali kuhusu Uingereza umelikwepa? umerukia mengine. Kwi kwi kwi teh teh teh. Hiyo inamaanisha kuwa sio kila wanalokwambia Uingereza basi wewe ulifate tu. Mengine ndio hayo mnashindwa kujibu.
 
Ni kweli ni hela za maharamia wa kisomali.

Lakini baada ya kutaitiwa kimataifa sijui kama mtoa mada amefika sehemu hiyo.
Leo ni magofu matupu, pesa imekauka!
Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?
 
Mkuu Jasusi ndio taifa la Tanzania hilo ambalo mafisadi wenyewe wanajiita "viongozi" wana ulafi wa utajiri wa haraka haraka kiasi ambacho maslahi ya nchi wameyaweka pembeni na kujali maslahi yao binafsi. Wako tayari kusaini mkataba wa aina yoyote ile ali mradi tu wanafaidika bila kujali athari za kile wanachosaini ili kuingia mkataba.

Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Aaah, kumbe pesa imekauka kwa sababu mataifa makubwa yameongeza ulinzi baharini na maharamia wanakamatwa left and right! Na maharamia hawa tunawakaribisha nyumbani eti nao ni wawekezaji?
Mkuu kuna mada ya siku nyingi hapa JF, Jamii Intelligence kule iliyoletwa naLole Gwakisa.
Mada hii ya "Mharamia wa kisomali na mjumba mapya Mbezi"imeelezea kwa kirefu mlolongo wa pesa inavyoingia na kutumika hapa Bongo.
 
Maharamia ni watu kama wewe mnaowapachika watu majina yasiyofaa kwa chuki tu za kijinga, Wasomali wamekufanyia haramu ipi hata uwaite maharamia? au?

People like you should be castrated so that we dont have such characters in future.
Al Shababu ndugu zako?
Na walio-master mind mabomu ya American Embassy DSM na Nairobi ni Wakwere?
 
Back
Top Bottom