Tanzania bans Kenyan products even after truce

Nafikiri unajidanganya. Cut story short, please provide us the list of shareholders? If any, why the principle is applied in only one-way handshake?
Your own link has clearly indicated that the Kenya govt ownns 30% of the shares and the rest is owned by private persons, with the shares traded in the Nairobi stock exchange, nimedanganya wapi?

Do not disturb me with stupid questions plz.
 
Your own link has clearly indicated that the Kenya govt ownns 30% of the shares and the rest is owned by private person, with the shares traded in the Nairobi stock exchange, nimedanganya wapi?

Do not disturb me with stupid questions plz.
Ha ha ha , as per regard, you would be deluding yourself.
 
Ni kweli kabisa sisi hatujui kingereza.
Je wachina wanajua kingereza? Na wajapani? Warusi?
Fool.
hawajui ila wanahangaika sana kukijua na wanakihitaji kwasababu ili bidhaa zao zipate soko lazima kiingereza kihusike.
 
Ndio, lakini msimu uliopita mavuno yalikuwa haba mno, hamkuwa na ya kutosha ya kutuuzia, kama tu mahindi.

Sasa hawa wafanyi biashara wa Tz ndio wakaanza kuagiza kutoka nje, tena kuyauza Kenya.
Kibaya kiko wapi sasa? Kwani viwanda vyote vinavyozalisha Kenya ni vya wakenya? Mbona kupitia mahusiano yetu tunanunua bidhaa zao na kuchangia pato la nchi yenu? Na kwa bidhaa kama ngano isingeletwa ikiwa haijakobolewa, mngeletewa unga,ulioandaliwa na viwanda vyetu, sawa na kununua panado toka Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So how is English teacher related to chemistry teacher. Can u say a man who couldn't say vapour is a good English teacher?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa sisi hatujui kingereza.
Je wachina wanajua kingereza? Na wajapani? Warusi?
Fool.
Ana matatizo ya kufikiri vyema huyu, ngoja Nimwambie taaluma ambayo mwanae anayo, anajua kuongea kingereza, kompyuta na si zaidi ya hapo. Tumesoma nao sana hawa waliotoka shule hizo, wakija sec. hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No country has ever developed by discrimination ,Kenyans have invested heavenly in Tanzania they should be appreciated instead of being fought .Nevertheless Kenya's spirit is strong ,and will win at the end
Game ndo kwanza linaanza, acha mbwembwe, shuhudia tu. Kibaya zaidi, hatuufati uelekeo wenu kuwakimbiza, tuko na shortcut zetu huku, serikali inapaa, rushwa na ufisadi hatutaki, na wanye nchi wanaamka, bonge la shortcut. Mtaisoma tu namba. Ondoeni uwekezaji wenu, mtajua pa kuwekeza, si tunayafikiria mafuta yetu na gesi yetu ya ziwa Nyasa kwanza, najua suluhisho ni kuungana nao ktk taifa moja. Mtz huwaza huko sio vingano na vibiriti mlivyowekeza na kuzuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuna kauwezekano hata Mengi anahisa nyingi humo na watz wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya daily nahofu akili na uwezo wenu wa kuelewa, nani kasema Tz English haifundishwi? Hata uliyemjibu hakumaanishi hivyo. Sasa watanzania wengi wanajua kingereza hata ya idadi ya wachina wakijuavyo? %%% nimekusaidia hapo kwakuwa uelewa wenu ni shida sana. Tunao wataalamu wa kingereza wakutosha, na falsafa ya lugha, ajifunzae toka A-z upya huijua vyema kulikoni. Nachelea kusema, wataalamu wa kingereza wa Tz ni bora zaidi ya wa KE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizazi chenu ndicho chenye Mikosi, mmekuta elimu imekwisha labda. Ila vyuoni tumesoma na wakenya, Uganda na mataifa mengineyo, hawakuwa wenye akili kivile japo wana bidii sana ktk kujifunza aka wasongo sana nadhani wanajijua ni vilaza. Ungemuuliza huyo mtoto huko Kenya alikuwa akishika nafasi ya ngapi?

Kumbuka, Kenya elimu bure imeanzishwa miaka ya karibuni, inawezekana hata misongamano madarasani haukuwepo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawajui ila wanahangaika sana kukijua na wanakihitaji kwasababu ili bidhaa zao zipate soko lazima kiingereza kihusike.
Kiaje mbona mawazo yako ni mafupi hivyo? Kinachoongelewa ni tofauti na unachodhani, mi naamini mtaalamu wa linguistic E. Africa anaweza akawa ni mtz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Wakenya si ndiyo walianza kuzuia bidhaa kutoka Tanzania kuingia kwao? Sasa makelele ya nini? Si mkauze bidhaa zenu somalia na south sudan. Hapa bongo tu kila shule moja binafsi nusu ya walimu wakenya na ukitembelea hotel zote kubwa wafanyakazi kibao ni wakenya. Ni nani aliwaambia kuwa watanzania hawazihitaji hizo nafasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitu usichoelewa ni kwamba shule zote hizo ulizozitaja haukosi mganda au mkenya. pia, tufike kipindi tukubali watz hawajui kiingereza, mtu asiyejua kuongea kiingereza fasaha hawezi kukufundishia mtoto wako akaongea kiingereza fasaha.

What's the issue? Language (English) or Knowledge (subject)?

Please do a reading of The myth of language and knowledge by Martha Qorro.
 
Hongera, halafu pole kwa upofu unaopatiwa huko. Nani kasema hapa kuna kubughudhiana kwa wananchi? Hii ni vita ya kiuchumi /kibiashara Hakuna mapanga hapa, silaha ya mwisho ni kodi na ushuru?

Sent using Jamii Forums mobile app

Naishi comfortable kama raia wa hapa yaani kama Niko nyumbani tu tena wanakuheshimu sana
 
Hongera, halafu pole kwa upofu unaopatiwa huko. Nani kasema hapa kuna kubughudhiana kwa wananchi? Hii ni vita ya kiuchumi /kibiashara Hakuna mapanga hapa, silaha ya mwisho ni kodi na ushuru?

Sent using Jamii Forums mobile app

Namaanisha hakuna xenophobia kama nchi zingine akiona mgeni basi roho inageuka kama ya ushetani anaona umekuja kuchukua vya kwao
 
Hongera, halafu pole kwa upofu unaopatiwa huko. Nani kasema hapa kuna kubughudhiana kwa wananchi? Hii ni vita ya kiuchumi /kibiashara Hakuna mapanga hapa, silaha ya mwisho ni kodi na ushuru?

Sent using Jamii Forums mobile app

Namaanisha hakuna xenophobia kama nchi zingine akiona mgeni basi roho inageuka kama ya ushetani anaona umekuja kuchukua vya kwao
 
Mawazo yako sio sahihi. Huitaji walimu watano kutoka kutoka nje, labda kama unataka kuwa na shule hadhi ya Marist boys and the likes. Jambo moja unalotakiwa kujua ni kwamba si lazima kuwa walimu wengi kutoka nje peke ndio kutatengeneza ufanisi katika shule yako.
Kuendesha shule hizi inahitaji ubunifu na uzoefu mkubwa unless you will incur a lot of unnecessary costs and sometime you can achieve little.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwenzako ana ubishi usio na tija. Niko na taarifa kuwa waalimu wa kenya pia ni wachapa kazi pia, ni kweli?
Wanaweza wakawa wachapa kazi, lakini hiyo haiondoi uhalali wa kuwa na work permit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…