Tanzania bans Kenyan products even after truce

Tanzania bans Kenyan products even after truce

kenya haijawahi kuishinda tz kwa figisu hata siku moja. tukiamu akupigana ban kwenye vitu watakaoathirika zaidi ni wakenya kuliko watz ambao wataathirika kidogo. hata hivyo, sipendi relationship ya aina hii kati ya nchi mbili. binafsi nina mpango kufungua shule muda si mrefu kwaajili ya watoto na kikwazo changu kikubwa na waalimu wa kenya kuja kufundisha tz, I will need to pay permit for each one of them kama $2000 kwa mwaka, hiyo ni hela nyingi ukilinganisha na mishahara nitakayowapa plus ada watoto watalipa.worse enough watz wanaoweza kuongea kiingereza hawawezi kukubali kuajiriwa kufundisha watoto, pia kiingereza cha kenya ni kizuri (accent) kuliko cha Uganda. ningepata waalimu wa kenya hata watano tu ambayo ni sawa na milioni za tz 20ml kwa mwaka kuwalipia permit tu. kwa kitendo hicho Tz tumefanya kitu kibaya sana....we are blocking our own education.

seriously hv unaona keenya wanajua english? hawa watu ambao hawana hata lugha rasmi unawaona role model? you got to be kidding me. kuna watz wengi kufundisha na wenye uwezo sana. Sema mnalalia sana. ukitaka hata kuwatoa marekani wapo watz wanaweza kufundisha.
 
The relationship and the friction between Tanzania and Ke amazes me many times!!!
 
Wenyewe mumemtuma waziri wenu Mahiga aje hadi Nairobi ili mazungumzo yafanyike, na tukafikia hatua ya kuruhusu sote turejee biashara kama ilivyokua, halafu aliporudi mkaendelea kutunisha misuli.
Amini usiamini kwamba Tanzania hata pamoja na ukubwa wake, inahitaji ushirikiano na Kenya kama jinsi tunahitaji kushirikiana nanyi. Haya mambo yenu ya kutubeep halafu tukiwapigia mnaanza kulialia, ipo siku yatawashinda.
Ww usiwe mpumbavu soma taarifa hapo juu big looser ni nyie ndiyo kiuchumi mnaumia soko kubwa la bidhaa zenu ni Tanzania Afu unaleta ujuaji hapa

Safari hii ni kuwanyoshaa tu hadi ujeuri wenu ukiisha ndiyo tutaelewana
 
13350f6d0c8d0d18b132bc3e6456cd8a.jpg

Hapo bado mna njaa aiseee kiburi kitawaisha tu
 
Aisee ni hatari sana mtu ambaye hajaelimika kusimamia taasisi ya uelimishaji.

Hivi unataka kuniambia Tanzania nzima walimu wote wa English wanatoka Kenya?

Shule zote za serikali za secondary zimeajiri wakenya?

Shule za secondary ordinary and high level za serikali nchi nzima zinazofanya vyema zimeajiri wakenya?

Somo la English ndio somo linaloongoza kufeli kwenye shule za secondary?

Wewe kwako elimu ni English?
Mpumbavu huyo afu ni mshamba tu achana naye kuna walimu kibao wapo vizur hilo somo

Afu kuna waalimu wazuri sana Tanzania wa mathematics, physics, chemistry na mengine ambayo hao wakenya sizan kama wapo deep hivyo
 
mkuu ni kwamba, waalimu ahueni/afadhali wa tz ni wale waliosoma ualimu chuo kikuu nao wameenda kwa kuungauna kwasababu kwa kawaida ya tz mtu aliyefaulu vizuri huwa hadondokei kwenye ualimu. hivyo kumwajiri mtu aliyemaliza chuo kikuu afundishe nursery hautampata hata mmoja pamoja na kwamba mshahara nitakaomlipa ni mkubwa kuliko ule anaopokea serikalini usiozidi hata laki saba kwa mwezi kabla ya makato. unaishia kuwapata ambao hata university hawajafika ambao ni wabovu tu kichwani kiingereza cha kukariri kama wewe.

tukija kwa wakenya, kule wasomi wengi hivyo kuna competition sana ya kupata kazi, kulipwa mshahara mdogo ni kawaida sehemu zenye uhaba wa ajira. hivyo wakija huku wakilipwa more than one million or so, kwao ni hela nyingi, na wanafanya kazi vizuri sana. watoto waliofundishwa na wakenya ambao wametumia kiingereza tangu chekechea hadi chuo wanakuwa vizuri kuliko watoto waliofundishwa na watz waliotumia kiingereza kwa mara ya kwanza form one.acheni kukimbia ukweli.
Usiwe mnafik mkuu aisee mim had nimemaliza chuo kikuu sijawahi kukutana na mwalimu English ambaye anaongea hiyo broken
Afu elimu kuna masomo mengi tu hao wakenya ni weupe kichwan mfano nimesema mathematics
 
Ww usiwe mpumbavu soma taarifa hapo juu big looser ni nyie ndiyo kiuchumi mnaumia soko kubwa la bidhaa zenu ni Tanzania Afu unaleta ujuaji hapa

Safari hii ni kuwanyoshaa tu hadi ujeuri wenu ukiisha ndiyo tutaelewana

Wewe ndiye naona unawaza kijinga na kusahau kwamba Tanzania na Kenya tulikinukisha mwaka wa 1977 na kila mmoja akabaki kwake na hatukufa.

Binadamu ameumbwa kiajabu kwamba ukkmfungia upande mmoja anapata ahueni upande wa pili. Ethiopia wana watu zaidi ya milioni mia na kwa mara ya kwanza wameanza kufungua soko kwa Kenya.

Halafu kingine Tanzania ilishapitwa na mataifa mengine kwenye namba ya soko la bidhaa za Kenya. Ukweli ni kwamba mkiendelea na hizo tabia za kike za kununa ovyo ovyo halafu hatimaye tufungiane mipaka Kenya itapoteza pia lakini hamna biashara isiyokua na changamoto za kupoteza wateja hususan wale visirani.
 
Kwanini isiwezekane? Wakati dalili zinaonesha sio tu kijeshi, kidiplomasia wala kisiasa bali hata kiuchumi tunawakaribia vya kutosha na ndilo pekee mlilokuwa mkilitegemea ninyi tu?

Nchi yenye nguvu kiuchumi na kisiasa yaweza fanya lolote na dunia ikachekelea tu, muda ndio jaji mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

At mnatukaribia? that is a joke of the century .in early 90s we were very close in fact we were just few dollars ahead of you fox ,but today its billions not one not two ,but tens of them and there is no sign of you overtaking us today or tomorrow .Stop this hallucinations and face the reality fox.
 
Wenyewe mumemtuma waziri wenu Mahiga aje hadi Nairobi ili mazungumzo yafanyike, na tukafikia hatua ya kuruhusu sote turejee biashara kama ilivyokua, halafu aliporudi mkaendelea kutunisha misuli.
Amini usiamini kwamba Tanzania hata pamoja na ukubwa wake, inahitaji ushirikiano na Kenya kama jinsi tunahitaji kushirikiana nanyi. Haya mambo yenu ya kutubeep halafu tukiwapigia mnaanza kulialia, ipo siku yatawashinda.
Tuombe radhi,Hatukumtuma Mahiga alipita tu hapo akadakwa
Lakini kwa nini kila siku chanzo cha ugomvi mnakuwa ninyi tu
Mliua EAC
Mkazuia gari za kitanzania zisichukue watali airport
Mmezuia gesi na ngano kutoka Tanzania
Sie tukirudisha majibu mnalia lia.Haitatokea tena Tanzania kuhitaji kenya,acheni vitimbi hii sio Tanzania ya 1980's
 
Cha msingi siku zote babako akiwa na ugomvi na jirani, wewe kama mtoto utakua na mtazamo wa kumtetea babako bila kutaka kujua kama yeye kachokoza, labda hata amekojoa na kuharisha kwenye mlango wa jirani lakini hayo yote hutayaona. Utakua ukisema nyie ndio mnachokozwa.
Kwa ufupi ni kwamba nyie manafahamika kuwa na migogoro na majirani zenu, huwa hamuendani na yeyote, nakumbuka kipindi mlimsumua sana Kagame hadi nursa iishie kwenye vita. Leo hii mnachokoza Malawi, mumewakuta wameishi kwa amani tayari mnawachokonoa, ipo siku nilisoma hata Wazambia mumewazingua sana kwenye ile reli ya TAZARA.
 
seriously hv unaona keenya wanajua english? hawa watu ambao hawana hata lugha rasmi unawaona role model? you got to be kidding me. kuna watz wengi kufundisha na wenye uwezo sana. Sema mnalalia sana. ukitaka hata kuwatoa marekani wapo watz wanaweza kufundisha.
Wewe mshenzyy kweli, ati Kenya hamna lugha rasmi?
 
Halafu kingine Tanzania ilishapitwa na mataifa mengine kwenye namba ya soko la bidhaa za Kenya. Ukweli ni kwamba mkiendelea na hizo tabia za kike za kununa ovyo ovyo halafu hatimaye tufungiane mipaka Kenya itapoteza pia lakini hamna biashara isiyokua na changamoto za kupoteza wateja hususan wale visirani.
Punguza povu.Yaani nyie ndio mnaoanza kila siku unataka tuwakenulie tu?
Ukiwa kwenye nyumba ya vio usiwarushie wenzako mawe,na bado tunataka kupunguza KQ mpaka zifikie filghts 3 kwa wiki badala ya 48,Twiga kafufuka
 
At mnatukaribia? that is a joke of the century .in early 90s we were very close in fact we were just few dollars ahead of you fox ,but today its billions not one not two ,but tens of them and there is no sign of you overtaking us today or tomorrow .Stop this hallucinations and face the reality fox.
Mbona tumeshawapita??
Unaishi wapi wewe..
Forget your cooked GDP.
 
Cha msingi siku zote babako akiwa na ugomvi na jirani, wewe kama mtoto utakua na mtazamo wa kumtetea babako bila kutaka kujua kama yeye kachokoza, labda hata amekojoa na kuharisha kwenye mlango wa jirani lakini hayo yote hutayaona. Utakua ukisema nyie ndio mnachokozwa.
Kwa ufupi ni kwamba nyie manafahamika kuwa na migogoro na majirani zenu, huwa hamuendani na yeyote, nakumbuka kipindi mlimsumua sana Kagame hadi nursa iishie kwenye vita. Leo hii mnachokoza Malawi, mumewakuta wameishi kwa amani tayari mnawachokonoa, ipo siku nilisoma hata Wazambia mumewazingua sana kwenye ile reli ya TAZARA.
soko bora ni la ndani hata china walianza hivyo,tuzalishe tunavyovitumia na baadae tuzalishe tusivyovitumia.
kuhusu EAC tuliwekeza kwa Gharama mno yaani damu na nyama tuliamini sisi ni wamoja,kenya walichotufanya watanzania shetani na mungu wanajua na hapo ndio tz ikajua malengo ya wakoloni kupitia kenya.
kagame tumemlea na sasa kakua na akaona tz si bora bora kenya kwa kua staili za maisha wanaendana tukasema nenda ila alitaka ajaribu mtiti wa jwtz na km kawaida tukiingia lazima tuweke kiongozi wa muda na kwa gharama yeyote tungeshinda.
malawi hakuanza leo na kuna enzi za mwl alipelekewa tu ka bataliani kamoja akafuta usemi na analijua hilo suala la ziwa linaibuka wakati wa uchaguzi wao sisi huwa hatubadili msimamo ila tunabadili namna ya kuendeleza msimamo.

tuna soko visiwani komoro madagaska na SAdcc kuanzia mazao na wataalamu wetu.
zambia anajua mziki wetu kwenye tazara na hapendi kuligusia maana anajua tukiamua huwa hatugeuzi macho.
wale waliokuwa wanajiita umoja wa walio tayari kwenye EAC wamejua umuhimu wa tanzania km shock absorber ya shida zao na tukijitoa hawako salama.
kupitwa na uganda sio mbaya cha msingi wananchi wana amani,ww ukipitwa na ndg yako unamuwekea bifu?
sasa tunasoko kubwa la asali asia wala hatuhitaji soko la ulaya kwa kupitia kenya.
korea kaskazini wana vikwazo ila mbona wako mbele kimaendeleo kuliko hata nchi nyingi za afrika ?ambazo zimefungua milango kwa mabeberu na vibaraka wa wazungu?shida huleta maarifa mlipoombwa kwenye kikao chaEAC mlisema mekubali kufungua mpaka,wanatu wanapeleka unga nyinyi mnawakatalia mnasema ilikua maneno ya kikao bado aproval ya utekelezaji,na sisi kuwakubalia kikao tunasubili utekelezaji mnaona tunachelewesha.
tanzania tunafuga mifugo mingi hivyo maziwa na nyama si kitu ambacho adimu mpaka tupate hayo ya pakti yenye kemikali. ila kunywa ya pakti ni maamuzi.
soko la kongo ni kubwa kuliko watu wanavyofikiri.hata ivyo hatukubali kutolewa kafara kwa manufaa ya siasa zenu.

ndoa ni hiyari,kuwa jirani isiwe sababu ya kebehi,mahindi hampimi viwango ila unga mnapima.sasa na maziwa nayo yapimwe.
 
Swala la broken English hilo hata Kenya lipo tena kubwa tu nimesoma Tanzania sijakutana na mwalimu wa English anayeongea broken English kwenye ngazi zangu zote za elimu,

Unavyoliongelea hili jambo ni kama hakuna mtanzania mwenye kujua proper English kabisa.
Mi namjua mwalimu wangu Madam E Mgaya,English yake tamu sana.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Hujakaa.Kenya ukajua jinsi gani watanzania wanavyofanya biashara bila bughudha. Ni kuomba viongozi wawe na wisdom
U mean ile kenya ambayo ilimkatalia bakhresa in 2012 kufungua kiwanda cha kusaga ngano mombasa kuwa atauwa viwanda vya ngano vya wakenya wazawa sababu atauza ngano yake cheap..... Watanzania wnaofanya biashara kenya labda wachuuzi wa arusha na wachonga vinyago wa Gikombaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi siku zote babako akiwa na ugomvi na jirani, wewe kama mtoto utakua na mtazamo wa kumtetea babako bila kutaka kujua kama yeye kachokoza, labda hata amekojoa na kuharisha kwenye mlango wa jirani lakini hayo yote hutayaona. Utakua ukisema nyie ndio mnachokozwa.
Kwa ufupi ni kwamba nyie manafahamika kuwa na migogoro na majirani zenu, huwa hamuendani na yeyote, nakumbuka kipindi mlimsumua sana Kagame hadi nursa iishie kwenye vita. Leo hii mnachokoza Malawi, mumewakuta wameishi kwa amani tayari mnawachokonoa, ipo siku nilisoma hata Wazambia mumewazingua sana kwenye ile reli ya TAZARA.
Ww bwege Tanzania tunaangalia maslahi yetu kwanza kwani huyo kagame tulimzingua tu from no where , hao Malawi unajua chokochoko zao kuhusu ziwa Nyasa na hata tazara hivyo usiletee upuuz

Afu kwa bahati nzuri kizaz hiki sasa watz wengi sio kama miaka 1980 huko watanzania wengi wanajua haki na faida za rasimali za taifa lao

Na ndiyo maana tumewatimua wakenya na wageni wote wanaingia kumiliki ardhi bongo

Safi sana lukuvi
Kiufup hatutak urafik wa kipuuz
 
Mara nyingi huwa naona Kenya ndio mnaanzaga hizi chokochoko, when Tz rips right back vilio husikika kama hivi.. Do you remember zile tour Vans za Tz mlivyoleta chokochoko mkajibiwa mkalialia tukawahurumia, juzi hapa mnaban Bidhaa zetu kwa sababu ya Chuki zenu mkitegemea tuwaangalie tu,
But Kitu moja nimegundua Gikuyu wako na Roho mbaya sana,
A reason we want Raila in.
Besides, Kenya is Poorer than Tz, forget your Cooked GDP.
Raila tatizo iko moja kwake GOVI hahah,wanasema hivyo wakenya wenzake.
 
Ww bwege Tanzania tunaangalia maslahi yetu kwanza kwani huyo kagame tulimzingua tu from no where , hao Malawi unajua chokochoko zao kuhusu ziwa Nyasa na hata tazara hivyo usiletee upuuz

Afu kwa bahati nzuri kizaz hiki sasa watz wengi sio kama miaka 1980 huko watanzania wengi wanajua haki na faida za rasimali za taifa lao

Na ndiyo maana tumewatimua wakenya na wageni wote wanaingia kumiliki ardhi bongo

Safi sana lukuvi
Kiufup hatutak urafik wa kipuuz

Hehehe huwa nacheka sana kila mkiongea kuhusu kizazi cha sasa cha Watanzania, yaani ni hawa hawa ninaowajua na kuwafahamu, ambao mpo walafi na mafisadi kupitiliza, nchi yenu mnaliwa na kutafunwa tena kwa ushirikiano wenu. Bora hata Watanzania wa zamani walikua wazalendo, wasiokua walafi na waliungana wote kwenda kupigana dhidi ya Amin, leo hii hapo wala chips mayai na kuvaa milegezo wa Dar hamuwezi kupigana vikija vya kukuja.
 
Back
Top Bottom