Tanzania bans Kenyan products even after truce

This sounds silly ,Its not mandatory that we do business with your damn country fox, China ,and Japan did not trade with one another for a long period of time,but they grew to be what they are today ,not because of the neighbours market ,but because of the strategy, and innovation that individual country posses .its good that you have shown us your color ,and we know how to respond fox.time will tell.Kenya has got a lot of countries to trade with we are not we are because of Tanzania, but rather our style of business.
 
kitu usichoelewa ni kwamba shule zote hizo ulizozitaja haukosi mganda au mkenya. pia, tufike kipindi tukubali watz hawajui kiingereza, mtu asiyejua kuongea kiingereza fasaha hawezi kukufundishia mtoto wako akaongea kiingereza fasaha.
Mkuu, kitaaluma hatupimi academic competencies kwa kutumia kigezo cha lugha pekee, mtu anaweza kuongea kiingereza safi lakini content ya anachozungumza ikawa down, tumefundishwa na walimu Wakenya lakini tuliona wanababaika tu, infact there are some subjects they can teach well one of them is English, Geog and Biology a bit the remained subjects they can compete with others, huwezi kutafuta mwalimu mzuri wa Mathematics ukamuacha Mtz.

Tatizo letu watanzania hatuzingatii ethics za kazi na Commitment ni zero, Human resource managers ni hopeless they don't know to handle the weaknesses of their fellow Tanzanians. Sasa hivi wapo vijana very committed ila kama utafanya vetting kwa kigezo cha lugha, NENDA NAIROBI KIBERA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You never knew our color? Sory for you! As for us, We knew your true color long ago! The moment you hijacked the former EAC is when your cover was unveiled.

You should work as a man,and don't wait for other men to invest na unakuja eti unataka share .we did not hijack EAC we only took what was ours everything we took was ours ,and don't think that you can hijack our banks and companies in Tanzania .
 
Unasema hamna utafiti na hilo utafiti umeweka hapo.

Kenya si ndio hio hapo la nne? Tanzania ndio haionekani.

Pia, amezungumzia 'accent' ya wakenya ambayo Hute hapo amesema amependezwa nalo.

Mnamuattack kwann?
 
Tulia, povu yote ni ya nini? Mimi nimetoa kauli yangu kuhusiana na yale maoni ya yule niliyemlenga, ya kwamba English sio muhimu sana kwa vile hata wajapani, wachina na sijui wawapi hawalizungumzi.
 
Niliyesema hajafanya utafiti ni Hute kwa kusema accent ya Kenya ni nzuri kuliko ya Uganda. ndo maana nikampa link kumwonyesha kuwa waganda wanaongoza hapa Africa.

Kuhusu kuwachukia wakenya labda tuulizane, nani anamchukia mwingine, maana mimi naona ushindani sio chuki, japo huo ushindani unataka kuonekana kama chuki!
 
sio kweli kua accent ya kenya ni nzuri ukilinganisha na ya tanzania,watu wapo dharau tu ndo zinakufanya uhisi awapo watanzania wanaoweza zungumza kingereza kwa ufasaha ama ujatafta..(ujatangaza kua unatafta)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, but what triggered the whole controversy among u Tanzanians ni vile amesema watz hamjui kizungu. Hata angesema anawatafuta walimu kutoka Uganda, bado mgemponda tu juu ya hiyo kauli ya kutokua na imani na uwezo wa walimu wa Tz katika lugha ya kizungu.....I mean, Kiingereza.

Anyway, wakenya hawachukii watz....hata hata hata kidogo, abadan khatan!!!

Let me be very honest with u. Mkenya wa kawaida (by kawaida namaanisha yule ambaye hajui hizi vita vya hapa vya Jf) wanawachukulia watz kuwa wangawana na wapole. U are a very nice pipo.

Mwalimu wangu wa Fasihi in high school, Bw. Muthungu, alikua akipenda sana kukosoa jinsi jamii ya Kenya ilivyo. Kwa maoni yake, Kenya ni jamii iliovurugika mno, watu kukosa adabu, na mambo yake kadhaa. Na akawa anajiuliza," ni kwanini wakenya wasiwe kama watanzania"?

And Kenyans love your Kiswahili and your very excellently composed music. To most Kenyans, u are also very artistic.

So, mkenya wa kawaida hana shida yoyote na nyinyi.
 
Mimi sina tatizo na yeye kutafuta walim kutoka nchi nyingine, hiyo ni biashara yake so lazima afanye njia ambayo anaona kuwa atavutia wateja wake! Sina tatizo na hilo kabisa!

Kuhusu kutojua kiingereza, hilo kwetu Tanzania sio tatizo, labda angesema hatujui kiswahili hapo ingekuwa shida kidogo!

Kila mtanzania ambaye anaona kuwa anahitaji kujua kiingereza ni dhahili hukijua, yule asiyeona umuhimu wake akaacha pia ni uchaguzi wake!

Rafiki yangu mmoja yeye aliishia darasa la sita akaacha shule, lakini anaongea kiingereza vizuri sana na anafanya biashara ya kimataifa!

Ni suala la uchaguzi tu!
 
Poa, lakini hawa nduguzo wamechukizwa tu na hilo ya kutojua kingereza.
 
You should work as a man,and don't wait for other men to invest na unakuja eti unataka share .we did not hijack EAC we only took what was ours everything we took was ours ,and don't think that you can hijack our banks and companies in Tanzania .
Which shares are u talking abt? Zile za former EAC au hz za kampuni za kikenya zinazooperate hapa tz?

The moment you took what you claim to be yours from the former EAC is when you showed us that you are people not to cooperate with! And to make it clear, if you think what you took was yours, then we ar talking ours as well!
 
You should work as a man,and don't wait for other men to invest na unakuja eti unataka share .we did not hijack EAC we only took what was ours everything we took was ours ,and don't think that you can hijack our banks and companies in Tanzania .
Which shares are u talking abt? Zile za former EAC au hz za kampuni za kikenya zinazooperate hapa tz?

The moment you took what you claim to be yours from the former EAC is when you showed us that you are people not to cooperate with! And to make it clear, if you think what you took was yours, then we ar taking ours as well!
Poa, lakini hawa nduguzo wamechukizwa tu na hilo ya kutojua kingereza.

Ni kwa sababu mtoa mada amegeneralize, angetumia neno baadhi ya watanzania, pengine mitazamo ingekuwa tofauti.
 
You should work as a man,and don't wait for other men to invest na unakuja eti unataka share .we did not hijack EAC we only took what was ours everything we took was ours ,and don't think that you can hijack our banks and companies in Tanzania .
Kwanini isiwezekane? Wakati dalili zinaonesha sio tu kijeshi, kidiplomasia wala kisiasa bali hata kiuchumi tunawakaribia vya kutosha na ndilo pekee mlilokuwa mkilitegemea ninyi tu?

Nchi yenye nguvu kiuchumi na kisiasa yaweza fanya lolote na dunia ikachekelea tu, muda ndio jaji mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia, povu yote ni ya nini? Mimi nimetoa kauli yangu kuhusiana na yale maoni ya yule niliyemlenga, ya kwamba English sio muhimu sana kwa vile hata wajapani, wachina na sijui wawapi hawalizungumzi.
Sasa kwanini hukumuelewa? Hapo ndo kwenye mapungufu yako tu, au unadhani watu wanaongea siasa humu, kitu inajieleza unakipindisha kimaslahi tu? Tofautisha lugha ni taaluma mojawapo na taaluma ziko nyingi, hicho ndicho alicho maanisha.

Ninyi mliachiwa kingereza na sisi wa kiswahili, ni nani elimu yake ilimuwezesha kuunda gari lake mwenyewe? Ni ktk uelekeo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sure mnatukaribia kiuchumi? Dogoo wee! Gap hiyo inaendelea tu kuzidi, $23bln kwa sasa. 2011 ilikuw $8bn. Endeleeni kutukaribia.

Embassies Dar ziko 45pekee, Kenya ni 92. Mambo ya Kidiplomasia kweli mnatuzidi?

Kwenye suala kijeshi....sijui ni taasisi gani hizo zinakubaliana na wewe, lakini zote nijuavyo zinasema Kenya iko mbele kijeshi.

Lala unono.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…