Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Raia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Kwani wewe Dada mmeo huwa anakuonea wivu? Mme wako anatokea account gani?
 
Back
Top Bottom