Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Nitumie contacts zako uletewe lunch popote ulipo
Rais John Pombe Magufuli ni mzalendo namba moja na mtetezi wa wanyonge.
Imeisha hiyo
 
Anaitwa nani na shamba Lake lipo wapi?, ninataka kuliwahi pindi Magufuli atakapo toa amri ya kuwafurusha wakenya baada ya kuapishwa uchaguzi ukipita.
Utakuta ni mkurya wa sirari, au mjaluo wa kogelo. Si unajua hayo majamaa yana ndugu pande zote? So ni aunt yake lkn mtanzania
 
My Aunt has a big farm for the same huko Tz.
Tunawajua wengi ambao wana ndugu pande zote. Utakuta mkurya ana aunt na jombaz sirari na Isbania au mjaluo ana ndugu Tanzania na kenya..

Aunt yako ana category hiyo, hawez kuwa mkenya halafu akawa na shamba bongoland. Haya mambo tulishakataa. Tunaruhusu free movement of people lkn siyo na haki za kumiliki ardhi
 
Viva Strongman President Magufuli
 
huyu mzee atakufa na stress bure tu. hana akili kabisa. sasa dar is slum na zanzi bar si zitakuwa upungufu wa watalii?
Kwani yanakuhusu wewe...tukikosa watalii wewe Mkenya inakuhusu Nini?
 
hamna kiongozi yeyote mwenye akili timamu ataruhusu mtanzania aingie nchi yake bila kupimwa na kuwekwa karantini ya siku 14..misimamo mliyochukua inazidi kuchangia mtengwe na nchi zingine na kwa akili zenu mnajiona victims
Kama hujui nyamaza. Kuna mtu karudi U.S.A alipofika ndege nzima walipimwa isipokuwa yeye. Maana alipoulizwa anatoka wapi akasema TZ. Jamaa wakamwambia she is good to go. Huyoo akapita.

Ukiangalia kwenye list ya U.S.A ya watu wanaotakiwa kwenda na vipimo vya corona Tanzania haimo.
 
Wafunge mabenki ya Kenya Tanzania!
Bank huko ni mbali sana, hathari yake sio kubwa sana kwa wakenya na haitokei haraka, hapo hapo katika kuzuia mipaka ya ardhini ili wasitumie ardhi ya Tanzania kuzifikia nchi za kusini mwa Africa na vyakula kuwafikia wakenya ndio uchungu hutokea papo kwa papo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…