sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo??
ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande mwengine hawataki kujaribu.
Ni ngumu sana kuona athari ya haya mambo kwa sasa lakini hii mbegu inayoanza kupandwa ikistawi ni wazi kabisa italeta athari kubwa kwa watoto wetu na vizazi vijavyo, Tanzanja bara itagawanyika zaidi na zaidi huku umoja ukidhoofika, hii inaweza kufanya hata iwe rahisi kutumia mbinu za divide and conquer.
Je, Tanzania bara imekuwa sehemu ya majaribio??