Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajaribu vipi wakati hatujawahi kuwa na makabila wala machifu?haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo??
ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande mwengine hawataki kujaribu.
Ni ngumu sana kuona athari ya haya mambo kwa sasa lakini hii mbegu inayoanza kupandwa ikistawi ni wazi kabisa italeta athari kubwa kwa watoto wetu na vizazi vijavyo, Tanzanja bara itagawanyika zaidi na zaidi huku umoja ukidhoofika, hii inaweza kufanya hata iwe rahisi kutumia mbinu za divide and conquer.
Je, Tanzania bara imekuwa sehemu ya majaribio??
haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo??
ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande mwengine hawataki kujaribu.
Ni ngumu sana kuona athari ya haya mambo kwa sasa lakini hii mbegu inayoanza kupandwa ikistawi ni wazi kabisa italeta athari kubwa kwa watoto wetu na vizazi vijavyo, Tanzanja bara itagawanyika zaidi na zaidi huku umoja ukidhoofika, hii inaweza kufanya hata iwe rahisi kutumia mbinu za divide and conquer.
Je, Tanzania bara imekuwa sehemu ya majaribio??
Huyu mama hana nia njema na Tanganyika kabisa anataka kutuchonganisha tuanze kuparuana hapa ili alipize kisasi kwa wazanzibarhaya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo??
ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande mwengine hawataki kujaribu.
Ni ngumu sana kuona athari ya haya mambo kwa sasa lakini hii mbegu inayoanza kupandwa ikistawi ni wazi kabisa italeta athari kubwa kwa watoto wetu na vizazi vijavyo, Tanzanja bara itagawanyika zaidi na zaidi huku umoja ukidhoofika, hii inaweza kufanya hata iwe rahisi kutumia mbinu za divide and conquer.
Je, Tanzania bara imekuwa sehemu ya majaribio??
Unajua Mkuu ukishakosa maono Ni lazima utajaribu tu kufanya tuvituvitu ili uonekane nawe upo. Mama angalikuwa na maono makubwa asingalijihangaisha na mambo kama ya kuvaa Nguo za Chui. Au ndo kuifungua Nchi kwenyewe Kwa kuamini anaweza kuvutia Utalii Kwa kushirikiana na Watemi na Machifu?Nim
Esikiliza hotuba yake. Kwa kweli she is carried away na huo Uchifu Hangaya. Inaelekea kuwa yuko serious kuturudisha huko kwenye uchifu. This is very bad. Sijui lengo lake ni nini hasa na kwa manufaa ya nani..?
Kama ni swala la Utamaduni basi aanze na huko kwao Zanzibar ambako Usultani ulikuwepo kwa karne kadhaa.
Ndiyo maana tunamwambia kuwa yeye ni Rais anayrmalizia mkia wa awamy ya 5.Huu ujinga aliuanza JPM, tuwe wakweli.