Tanzania Bara imekuwa maabara ya kufanyia majaribio?, Kwanini Rais kaanza kuthamini machifu bara lakini hataki kujaribu Zanzibar?

Mwenzenu anaandaa mazingira ya uchaguzi 2025.

#Mark_my_words
 
Ni mlolongo wa kurasimisha utawala wa kishetani chini ya mpinga kristo kama ilivyoandikwa kwenye vitabu vya Daniel na Ufunuo wa Yohanna...
 
Utajaribu vipi wakati hatujawahi kuwa na makabila wala machifu?
 

Masikini hujui hata historia! Wanzanzibari ni wahamiaji kutoka bara halafu waka kaa chini ya utawala wa Oman. Hivyo wengi hawajui makabila yao
 
Huyu mama hana nia njema na Tanganyika kabisa anataka kutuchonganisha tuanze kuparuana hapa ili alipize kisasi kwa wazanzibar
 
Unajua Mkuu ukishakosa maono Ni lazima utajaribu tu kufanya tuvituvitu ili uonekane nawe upo. Mama angalikuwa na maono makubwa asingalijihangaisha na mambo kama ya kuvaa Nguo za Chui. Au ndo kuifungua Nchi kwenyewe Kwa kuamini anaweza kuvutia Utalii Kwa kushirikiana na Watemi na Machifu?
 
Zanzibar hakuna machifu Kuna ma Sultan na ma alwatan...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…