Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asavali maana nilifatilia tangu unaanza kuandika nikawa naomba niskikutane na maandishi "harambee Stars wanaandika bao la kwanza".TunafatiliaGOOOOAAAAAAAL!
Nizar Khalfan anaipatia Tanzania bao la kwanza dakika ya 18 baada ya wachezaji wa Kenya kuunawa mkono.
Sio Mwili tu hata akili zetu fupi namba moja akishika Muungwana.Hivi watanzania ni wafupi?