Tanzania Becomes First Country to Welcome all Tourists again with open arms

Tanzania Becomes First Country to Welcome all Tourists again with open arms

Watalii watakuwa waanasoma kitabu cha "Coronisation of Tanzania mainland by dr. Magufuli"
Wakiwa kwenye Ndege kuelekea usawa huu
 
Hiyo suti ya mwishimiwa nimeielewa atari
 
Watalii wangapi wamekuja so far? Kuna data? Balozi zao zimewaonya wasije. Soma Travel Advice.
 
Watalii watakuwa waanasoma kitabu cha "Coronisation of Tanzania mainland by dr. Magufuli"
Wakiwa kwenye Ndege kuelekea usawa huu

Hivi USA Covid-19 imeisha naona wanaandamana tu na kuleta fujo kwa Trump!
 

Hii video nadhani imefanyiwa ukarabati (montage) Hii ndege ya ATC ina uhusiano gani na RC? Ilifanyika wakati mmoja? ATC ilileta watalii kutoka wapi? Ulaya? Ni watalii wangapi? Kumi? Naona video ina walakini na masuali ya kujibu
 
Watu wanapambana na covid nyie mnazungumzia utalii?!Ama kweli dunia kubwa!

Kwa nini tusifungue utalii? Sisi Covid-19 dawa ipo na mambo yanaendelea kama kawaida ambao wana matatizo na kuwewesekaweweseka ni hawa hapa: Amerika (USA) burning wapambane na hali zao. Sisi ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele tu!
 
Sawa weka twakimu

Takwimu zinatolewa mfano Dar Es Salaam wamebaki wagonjwa 3 au 4 Waziri wa Afya alisema pamoja na mambo mengine katika taarifa yake. Dodoma 0; Mwanza 0 nk. Sasa unataka data zipi tena? Hivi huko shule mlienda kusoma kitu gani? Au hao mabwana zenu ndio wanawafundisha kuropoka kama Kenya, ambao wanaamrishwa kuwazuia Watanzania wasisafiri kwenda Kenya? Pambaneni na vibeberu vyenu maana sisi tupo tunachapa kazi na hatuna wasi wasi wowote. Kama mna Covid-19 dawa zipo bwelele tu Tanzania kuanzia Bycaro hadi za kujifukiza nyinyi endeleeni kuwatukuza tu hao makuwadi wenu ambao hivi sasa kunawaka moto. Amerika (USA) burning
 
Back
Top Bottom