Chenge JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 1,073 Reaction score 377 Sep 8, 2012 #41 hii nchi hata taahira anaweza kuiongoza, watu wapole kama mang'ombe yaliyohasiwa.Inakuwaje mafuta yapande kwa kiasi hicho kisha watu wamekaa tu kimya?
hii nchi hata taahira anaweza kuiongoza, watu wapole kama mang'ombe yaliyohasiwa.Inakuwaje mafuta yapande kwa kiasi hicho kisha watu wamekaa tu kimya?
Sabayi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 2,310 Reaction score 999 Sep 9, 2012 #42 Nchi ya wajinga kama TZ kila mtu anaweza kuiongoza,mbona nchi za jirani mafuta hayajapanda bei hivi? kwani sisi tunanunua wapi?
Nchi ya wajinga kama TZ kila mtu anaweza kuiongoza,mbona nchi za jirani mafuta hayajapanda bei hivi? kwani sisi tunanunua wapi?