BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Kuna watu humu ndani wanaona kwamba mawazo yao yanaumuhimu kuliko ya wengine au kwamba hatuitajiki kutoa mawazo yetu mmoja wapo akiwa moderetor wa hii website, i dont know u people bt the way you think mpo juu kimawazo zaidi ya wengine hiyo tayari imewaweka kwenye kundi fulani, tetea hoja kwa sababu za msingi sio kwasababu siamini unachoamini ww unataka kuniforce niamini....mambo hayaendi hivyo...kama mnashindwa kupokea mawazo ya mtu with open minded basi demokrasia haina mahali pake hapa na CCM itaendelea kutawala hadi mjue kutetea hoja kwa reasons na sio matusi na kejeli....ni hayo tu.
Unajua jamaa kasahau kuwa Crap lazima iwe holly haijalishi imetoka crapville au craptown na hatakama imetumwa na crapmaniacNingeandika neno moja tu - crap - lakini kwa vile mods wa hii forum wamezuia kuandika neno moja la crap kwenye craps kama hizi za kutokea crapville, kwa leo nitasema tu ....what? .... heri mimi sijasema neno crap kwenye post ya memba mwenzangu wa JF kama wewe mwenye crap za kutosha kulisha watoto wa kihindi dunia yote.
Sababu ya kutoandika crap hapa au kuandika crap hapa (mods wanataka sababu itolewe) ni kwa sababu umemtukana mod wa hii forum bila kuwa na...... holly crap ......reason yoyote kufanya hivyo.
Unajua jamaa kasahau kuwa Crap lazima iwe holly haijalishi imetoka crapville au craptown na hatakama imetumwa na crapmaniac