BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Kuna watu humu ndani wanaona kwamba mawazo yao yanaumuhimu kuliko ya wengine au kwamba hatuitajiki kutoa mawazo yetu mmoja wapo akiwa moderetor wa hii website, i dont know u people bt the way you think mpo juu kimawazo zaidi ya wengine hiyo tayari imewaweka kwenye kundi fulani, tetea hoja kwa sababu za msingi sio kwasababu siamini unachoamini ww unataka kuniforce niamini....mambo hayaendi hivyo...kama mnashindwa kupokea mawazo ya mtu with open minded basi demokrasia haina mahali pake hapa na CCM itaendelea kutawala hadi mjue kutetea hoja kwa reasons na sio matusi na kejeli....ni hayo tu.
