Tanzania Bilionea ni mmoja tu ,wengine ni Oligarchy

Tanzania Bilionea ni mmoja tu ,wengine ni Oligarchy

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwanza lazma tujue oligarchy ni nani , na bilionea ni nani.

Kiufupi oligarchy ni kikundi Cha watu/mtu wenye feza nyingi sana yaani matajiri ambapo utajiri wao unatokana na serikali iliyopo madarakani kuwapa nguvu huyo na wanatumia na serikali kujipatia utajiri either kwa kupeana mikataba kwa masharti ya kuisaidia serikali hiyo kuendelea kubali madarakani. Pia Hawa oligarchy wanapata utajiri kwa kutumia natural resources za nchi na ndo wanacontrol serikali

Kwa upande mwingine bilionea Hawa ni matajiri walioweza kujipatia utajiri kwa mfumo nje na ule wa kula dili na Serikali, mfano mzuri alikuwa Reginald Mengi, Bakharesa etc.

Kiufupi Reginald Mengi alishawataja ma oligarchy wa nchini Tanzania yeye aliwaita mafisadi papa, wale wale oligarch aliowataja mengi sasa hivi wanarudi kwa Kasi

Kwa kusema hivo basi Tanzania tuna tajiri mmoja ambaye ni Bakhresa na yupo clean na ashirikiani na Serikali kama hao maoligarch wengine ambao juzi kuna oligarch mmoja alienda na mama Marekani.

Kuna huyu oligarchy Mwingine anahusika na matimu timu ya mpira
 
Uko sahihi kabisa na ndio maana watu walisema humu janvini kuwa hiyo mikataba anayosaini Rostam Azizi na kuwekewa guarantee na Chief Hangaya ni mbinu yao ili Baadae kuja kuweza kutumia makampuni ya Rostam kama conduit ya kupitishia fedha za wizi kutoka serikalini Kwenda ccm; ili zije kutumika kwenye Uchaguzi wa 2025!!! Hiyo Ndio kazi ya OLIGARCHS a' la Rostam.
 
[emoji445]Mfano wa mtu mwenye pesa ah...ah
we mtazame Bakhresa...[emoji445]
 
Back
Top Bottom