Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him

Naona amewasilisha kama ilivoripotiwa na kamanda Mambo sasa. ...
Safi lakini...
Nimefurahi tanzania tuna bilionea 1 kati yq 2000 waliopo duniani. ..
We proud of you MO. .
Siku nyingine ukiongea na "mabeberu" 'watch it'...
Msifua mvuaimemnyeeshea.

Hakuna Mtanzania asiyefahamu sifa ya beberu. Beberu, liwe la mbuzi au kondoo, kazi yake kupanda na kuzalisha. Vipi mwenzetu kuita binaadam wenzio "mabeberu" walikupanda wakakuzalisha?
 
Hatari sana, mbona Mo anaficha ficha.. Aseme walikuwa wakitumia Lugha gani?, ni weupe au weusi, walitaka nini kwake? aliwapa au hakuwapa?? Kama hakujibu hayo maswali hakukuwa na haja ya kumhoji..
Mo bana! Acha kuzuga how come watekaji kutoka Mozambique na S.A walitaka hati za umiliki wa mashamba ya mkonge,
 
Msifua mvuaimemnyeeshea.

Hakuna Mtanzania asiyefahamu sifa ya beberu. Beberu, liwe la mbuzi au kondoo, kazi yake kupanda na kuzalisha. Vipi mwenzetu kuita binaadam wenzio "mabeberu" walikupanda wakakuzalisha?
Waulize CCM wenzio...
 
Nawewe unaanza kutengeneza script yako?
Katika kuwasiliana wao kwa kwao walitumia lugha yao asili,lakini kipindi wakimuaddress jambo basi wanatumia lugha ambayo yeye kama hadhira ataelewa fanani anahitaji nini (kwa uelewa wangu mdogo)
 
Alifungwa kitambaa cha macho muda wote alijuaje kama hao watu walitokea Mosambique na South Africa..??! Au kaambiwa aseme hivyo!!?
Aliambiwa na Mambosasa huo ndio msimamo
 
Hivyo alivyoeleza ndivyo kila mtanzania anajua hivyo, sasa hapo hakuna alichoongea zaidi ya kukopi mawazo ya watanzania wengi. utadhani sio yeye mhanga wa tukio.

Wahindi waoga sana.
 
Labda kudhulumiana kwenye biashara zao

Wafanyabiashara wana mambo mengi hatuwezi kujya5

Ila tushukuru alirudi ,hili Ndio la msingi
Hahahaaa wafanya biashara akina Magufuli??

Uhalifu woote ulifanyikia mita 200 kutoka ikulu.

Hahhaaaaaa wafanya biashara ni watu hatari.
 
Angekaa kimya tu !! Anazua maswali ya kejeli mengi tu ukute kama watekaji kweli walivunja kichupa hahaha
 
Wewe umesomea chini ya mti au ngumbaru nini??!!, , lini herufi zikawa ni namba??

Namba ni mfano, 1,2,3,4,----, Herufi ni mfano, A,B,C----, a,b,c, nk.[emoji1787][emoji1787]
Hamnazo, so ebu taja namba mojawapo ya gari hapa tanzania
 
Angekaa kimya tu !! Anazua maswali ya kejeli mengi tu ukute kama watekaji kweli walivunja kichupa hahaha

Hawa madikteta wanakuwa na mbinu za kishenx sana saa nyingine! Waktaka ukasema kile wanachotaka wanaktafutia njemba zinakufanyia ''UFIRAUNI'' na huku waki record Live…! Ukisema kinyume chao wana weka mambo hadharani…!
 
Y
Hatari sana, mbona Mo anaficha ficha.. Aseme walikuwa wakitumia Lugha gani?, ni weupe au weusi, walitaka nini kwake? aliwapa au hakuwapa?? Kama hakujibu hayo maswali hakukuwa na haja ya kumhoji..
Yeye hakwenda pale kutaka kufurahisha watu alienda kueleza tukio lilivyokuwa sasa watu mnataka aeleze mtakayo wakati yeye ndio anayejua tukio lilivyo, msipende kulisha watu maneno.
 
Bado hajafunguka zaidi huko alikokua ni kwenye nyumbaau porini,pangoni ?Yaani accomodation ilikuaje kwa ujumla ?
Maji ya kunywa chakula,kulala ...huduma mughalab ya choo na bafu....
Hapa naona Mo angeiweka Public zaidi na angeruhusu maswali,siku 10 si masihara
 
Y

Yeye hakwenda pale kutaka kufurahisha watu alienda kueleza tukio lilivyokuwa sasa watu mnataka aeleze mtakayo wakati yeye ndio anayejua tukio lilivyo, msipende kulisha watu maneno.

Kwenye tukio lolote lazima kuna key points lazima ziwe zimetokea na hizo key points unaona watu wengi hapa wanajaribu kuzihoji..
 
Msifua mvuaimemnyeeshea.

Hakuna Mtanzania asiyefahamu sifa ya beberu. Beberu, liwe la mbuzi au kondoo, kazi yake kupanda na kuzalisha. Vipi mwenzetu kuita binaadam wenzio "mabeberu" walikupanda wakakuzalisha?
Ukiona hivyo yeye ni
 
Watawala wetu watambue kuwa hizi "movies" wanazozicheza zina "impact" kubwa sana kwa nchi yetu

Hivi sasa TZ inafahamika kuwa siyo mahali salama, kwa kuwa hata wafanyibiashara wakubwa kama Mo wanaweza kutekwa na watekaji wao wasiweze kukamatwa!
 
watekaji ni watu wasiojulinaka ila wamejulikana sio watanzania East kuna nacho inatusumbua sana
Wewe umesomea chini ya mti au ngumbaru nini??!!, , lini herufi zikawa ni namba??

Namba ni mfano, 1,2,3,4,----, Herufi ni mfano, A,B,C----, a,b,c, nk.[emoji1787][emoji1787]
Namba za kirumi hizo,kwani huzijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…