Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him

Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him

Naona amewasilisha kama ilivoripotiwa na kamanda Mambo sasa. ...
Safi lakini...
Nimefurahi tanzania tuna bilionea 1 kati yq 2000 waliopo duniani. ..
We proud of you MO. .
Siku nyingine ukiongea na "mabeberu" 'watch it'...


Hhahaa kwamba umefurahi tuna bilionea mmoja...!duh
 
Hawa madikteta wanakuwa na mbinu za kishenx sana saa nyingine! Waktaka ukasema kile wanachotaka wanaktafutia njemba zinakufanyia ''UFIRAUNI'' na huku waki record Live…! Ukisema kinyume chao wana weka mambo hadharani…!
Ukweli unabakia ukweli......!! IPO siku itajulikana
 
Back
Top Bottom