tanzania billionaire said salim bakhresa is on another level. he is feeding south africa.

in east africa, kenya is known to have many rich businessmen particularly politicians. but where do they invest their money?. i find bakhresa the only businessman with tangible investments outside east africa.
 
in east africa, kenya is known to have many rich businessmen particularly politicians. but where do they invest their money?. i find bakhresa the only businessman with investments outside east africa.

The more reason why Danganyika has been stagnant for eons
 
jibu swali, hao matajiri wenu hapo kenya including wanasiasa wanawekeza pesa zao wapi nje ya east africa?.

onyesha big investment za wakenya zilizopo nje ya east africa.

Hapa hatuzungumzii mwekezaji mmoja au wawili....
 
Mabilionea wa Kenya ni mafisadi na wezi hivyo hawawezi kujitanua kibiashara nje ya Kenya. Haiwezekana mtu ukapata ubilionea kupitia siasa ukawa mfanyabiashara wa kweli nyumbani na kimataifa.
 
Umenena vyema.
 
kenya ndio nchi pekee EA unakuta records za utajiri wa mtu zinaanzia pale alipoanza kuwa mwanasiasa au pale aliposhika cheo kikubwa kwenye public institution.

rejea utajiri wa kenyatta family, moi family, william ruto, the late njenga karume and many more of the same caliber.
 
Hapa hatuzungumzii mwekezaji mmoja au wawili....
buda is that all you got. i thought you would show us big factories owned by kenyans in foreign countries. badala yake umeleta porojo za FDI toka kwenye ki blog cha vichochoroni. acha masihara.
 
in east africa, kenya is known to have many rich businessmen particularly politicians. but where do they invest their money?. i find bakhresa the only businessman with investments outside east africa.
Kenyan Tycoons among the others might be the engine behind Bakhresa group of companies...

With the dirty money and staff they know how to play with shares
 
Back
Top Bottom