Tanzania Black Friday ya nini?

Sasa si muanziashe ya kwenu!

Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?

Sasa mtaalam tukianza na sikukuu zote za ki kigalatia, tuje na za Islam, vyote tunapiga na kufuata mkumbo. Inabidi tufuate upepo tu hakuna namna.
 
Dah eti wala vumbi...una dharau sana ๐Ÿค”
 
Nianzishe Boxing Day ya nini mimi?
Ili usiige mtu yeyote ,Iwe unique ya kwako mwenyewe

Mkuu hata waliotengeneza simu bado watu wanaiga na kutengeneza zenye mfanano

Kama hutaki watu washerekehe black Friday Afrika au Uingereza basi hama hii dunia

Kuondokana na karaha na kero mkuu hama hii dunia

Huna hoja umekurupuka

Mfano ,Ni National anthem au nyimbo za mataifa,Kuna mataifa yalikuwa hayana National anthem lakini sasa wametengeneza kama wengine
 
Unbothered.
 
Ahaa

Mkuu bora uombe Moderators wa delete huu uzi maana umekurupuka sana

Kwani ile Good Friday ya Vatican ,Huko marekani inaitwaje ?

Marekani yeye Goodfriday ana timing yake anaita jina jingine au ni Ijumaa kuu tu

Tafuta jina lako la ijumaa kuu na ushawishi watu wakufuate kama unaona ni jambo rahisi

Soma hustoria ndio utajua zimepita Big powers nyingi sana

Kuna Big powers zingine zikafuta miaka yote na kuanza upya kuhesabu na sasa ni mwaka 2023

Kuna Big powers zilianzisha Christmass unayosherekea wewe na wamerekani

Kuna Big powers zilianzisha ibada za Jumapili Sunday

Wewe unashangaa Marekani na BlackFriday ambayo inaishia Dar es Salaam tu kwa Tanzania


Sasa wenzako Jumapili inaazimishwa mpaka vijijini huko duniani kote kwa nguvu za dola moja tu lenye nguvu

Hii dunia mwenye nguvu ndie anaamua

Sasa wewe umekurupuka sana mkuu

Bora msukuma mwenzako alipush na sasa kuna World kiswahili day na inatambulika kwenye calenda za UN ,kuna siku ya kiswahili duniani na hakuna wa kupinga na kutoa siku yake
 
Umejiaminisha kabisa kwamba nimekurupuka eh ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Unahangaika sana aisee!! Pole.
 
Black Friday kwa Wamarekani weusi na kumbukumbu mbaya sana na hawataki kusikia:
Black Friday ni kwamba kipindi kile cha biashara ya Utumwa ulikuwa ni siku ya punguzo la bei ya kuuzia watumwa.
 
Pamoja na exposure uliyoipata Ila bado una Ushamba Fulani ambao nahisi ni Inborn, Ivi izi Sherehe zingine Zinazosherekwewa Worldwide tu trace Origin zake na Tuanze Kuzuia wengine wasi shereke?
 
Jamii ya Kitanzania wengi ni mambumbumbu tu, wao ufuata mkumbo bila hata kujuwa ukweli. Ni haibu kutangaza biashara namna hii, nobody duniani anaiga ujinga kama sie Watanzania. Thanksgiving ya Marekani ni kwa ajili ya Wamarekani tu, nyie hapa Tanzania inawahusu nini? Huwezi kuta Mmarekani anasheherekea siku kuu ya Saba Saba huko kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ