Tanzania Black Friday ya nini?

Tanzania Black Friday ya nini?

Siyo suala la jina tu!

Angalia timing yake.

Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.

Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.

Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?

Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?

Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Screenshot_20231125-011613_Chrome.jpg

Kukaa sana marekani muda mwingine ni ushamba
 
Propaganda Machine ( Media ) + Manufacturing of Consents + The Crowd + Crystalize Mass Opinions.
 
Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani.

Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga.

Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka.

Siku ifuatayo, yaani Ijumaa, huwa inajulikana kama Black Friday.

Black Friday ni siku ambayo madukani kunakuwepo na mapunguzo makubwa ya bei za vitu/ bidhaa.

Zamani kabla ya masoko ya mtandaoni hayajaenea na kuzoeleka, watu walikuwa wanaenda kupiga kambi kabisa nje ya maduka kama Best Buy ili kuwahi kuwa wa kwanza kuingia madukani humo pindi milango inapofunguliwa.

Ilikuwa ni vurugu sana. Watu walikuwa wanapigana. Wengine walikuwa wanakanyagana hadi kuuana kabisa.

Siku hizi hakuna sana hizo vurugu maana manunuzi watu wanafanyia kwenye mitandao.

Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!

View attachment 2823288

Ina maana Tanzania nako wanasherehekea Thanksgiving siku hizi?

Wameanza lini kusherehekea sikukuu za Marekani? Na July 4th nayo wanaisherehekea?

Kubalini, kataeni, chukieni, oneni wivu, jibamizeni ukutani, mwisho wa siku Marekani ndo taifa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya uhai!

Kama mnaiga hata black Friday, basi Marekani imewakamata panapo vizuri sana.

🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Wamarekani ni binadamu kama Watanzania tu hamna mtu bora kuliko mwenzake. Japo nakiri Waafrika kuna ushamba tu.
 
Hata ushoga wa Mmarekani shoga Watanzania walio wajinga wanauiga.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Hata ushoga wa Mmarekani shoga Watanzania walio wajinga wanauiga.

Wajinga ndiyo waliwao.
Wote Mashoga' hata humu JF kuna Mashoga' vile vile hata Mods pia wapo baadhi ni Mashoga' kuhakiki pitia bendera ya JF logo utanielewa Mavi kila sehemu
 
Wote Mashoga' hata humu JF kuna Mashoga' vile vile hata Mods pia wapo baadhi ni Mashoga' kuhakiki pitia bendera ya JF logo utanielewa Mavi kila sehemu
Iweke tuione logo yao.

Humu max na mwenzake yule mchaga nilihisi siku nyingi ni wale wale.
 
Pamoja na exposure uliyoipata Ila bado una Ushamba Fulani ambao nahisi ni Inborn, Ivi izi Sherehe zingine Zinazosherekwewa Worldwide tu trace Origin zake na Tuanze Kuzuia wengine wasi shereke?
Anzeni basi na kusherehekea Pride Month. Sawa eh?
 
Labda kukaa kwako tu marekani ndio maana unashangaa TZ kuiga black friday,ila kiukweli hiyo ishakua ni siku inayosheherekewa na nchi nyingi kwa sasa
Hata Pride Month inasherehekewa sehemu nyingi tu duniani.

Anzeni na nyie sasa [kama bado hamjaanza].

🌈
 
Macro ndo nini?
Ni kama Cash and Carry sema Macro ni kubwa zaidi hakuna kitu utakosa Macro.co.za kwa vitu matumizi ya majumbani au ofisini wao wanauza bei za jumla hata kwa bidhaa utakayochukua pisi moja na vitu vyao vina ubora pia...
 
Kuna vitu vingine tuache vitupite tu jaman,Xmas na Iddi zimekuwa mzigo mkubwa sana kwetu sahzi wanataka watuongezee thanksgiving picha linaanza siku hiyo lazima uchinje Bata mzinga
 
Kuna vitu vingine tuache vitupite tu jaman,Xmas na Iddi zimekuwa mzigo mkubwa sana kwetu sahzi wanataka watuongezee thanksgiving picha linaanza siku hiyo lazima uchinje Bata mzinga
🤣🤣🤣

Ongezea na ham, sweet potato casserole, cranberry sauce, pumpkin pie, stuffing, etc.

Hapo bila hata kujua Thanksgiving kwa Wamarekani ina maana gani!!
 
Back
Top Bottom