joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mbona unakwepa swali?. Ninyi mlisema sisi ni masikini sana hatuwezi kujenga SGR ya UMEME kwa pesa yetu, sisi tunajiamini sana tukasema tunaweza, tumeshalipia 700Km za SGR ya UMEME kwa pesa yetu, toka Dar - Makutopora, sio 200Km.Nyie msijidharau nyie mko sawa. Hivi hujui nyie ni top 10 economy in Africa? Mtajilinganisha aje na DRC au Burundi? Ndio mna uwezo wa kujenga kilomita mia mbili ya SGR ya umeme bila kutumia mkopo kama vile sisi tunajenga Lamu port bila kutumia mkopo.
Baada ya kuwathibitishia kwamba tunaweza, sasa hivi mumeamua kuwasema DRC kwamba ni masikini hawawezi kukopesheka, hata DRC itawathibitishia kwamba "you are wrong again"