Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Nakupa mfano mmoja tu. Huko ngara ambapo SGR itapita hadi Kigali mkungu wa ndizi ni shs 200 kwa sasa. Dar mkungu wa ndizi huo huo ni 20,000. Tatizo usafiri kutoka ngara hadi Dar inachukua siku 3 kwa lorry hivyo ndizi zitaiva. SGR itatumia masaa 10 kutoka Ngara hadi Dar. Hivyo bei ya ndizi itapanda huko Ngara na Dar itashuka maana zitakuwa ni nyingi. Niendelee au nisiendeleeI agree,but nikuulize tu swali la kijinga probably, je Tanzania ni nchi ya kwanza Africa kujenga SGR? if not huko walipoanza kujenga SGR imebadilisha maisha ya wananchi wake au kukuza uchumi wa nchi zao kwa kiwango gani? au wao hawanaakili ndo maana hawajaona matunda ya SGR? Asilimia kubwa ya watanzania hali zao ni mbaya because they are not producing or their productivity is very so SGR ina maana gani kwao,labda tunamjengea Bharessa na wafanyabiashara wa Rwanda anakotoka mtu wetu
Asante mkuu,sasa wadanganyika wanadhani uchumi utakuzwa na SGR,hawajui kuwa ile ni reli tu na ili izalishe pesa lazima kuwe na mizigo ya kupita juu yake,sasa kama watanzania si productivity sijui hiyo mizigo itatoka wapi?anyway hao hao ndo wanaaminishwa na Magufuli kwamba Serikali ina pesa nyingi while wao wamechoka sasa sijui huwa wanafikiri serikali inapata wapi pesa nyingi wakati wananchi wake wengi wamechokaIli uchumi ukue kwa mtu binafsi ni lazima 68% ya hao wakulima walime kwa tija kutosheleza nahitaji ya Ndani pamoja na export ili kupata fedha za kigeni. Yote hayo yatawezekana kwa kuwekeza nguvu kubwa ktk kilimo ambacho kila siku kinazidi kudidimia chini
Na kuna mikungu mingapi hapo ngara?hata huko ngerengere kuna magunia kadhaa ya mahindi na bei ni ndogo kuliko dar,the questions kuna production ya kutosha kuwatoa watu kwenye umaskini au wewe mtu akishapata hiyo 20,000 hata kama anauza mikungu 100 kwa mwaka ndo atauaga umasikini?Nakupa mfano mmoja tu. Huko ngara ambapo SGR itapita hadi Kigali mkungu wa ndizi ni shs 200 kwa sasa. Dar mkungu wa ndizi huo huo ni 20,000. Tatizo usafiri kutoka ngara hadi Dar inachukua siku 3 kwa lorry hivyo ndizi zitaiva. SGR itatumia masaa 10 kutoka Ngara hadi Dar. Hivyo bei ya ndizi itapanda huko Ngara na Dar itashuka maana zitakuwa ni nyingi. Niendelee au nisiendelee
Wapo tayari kutukopesha. Watakapo anza kutukopa basi tutakuwa DONA KANTRI inshallah.Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Vipi mishikaki ya nundu imeisha? Basi nitaleta viatu kusafisha.Tulisema tunajenga na pesa za ndani
Jina baya liliharibu mtoto! Mtoto akijiita sijijui kubali kuwa hajitambui. Wewe ni mbishi tu. Angalia mfano mwingine, kabla ya kupita barabara ya lami, kwa kawaida huwa vijumba ni hohehae lakini ikiwa ni lami huwa ni mabadiliko ya maana. Sembuse train ambayo inaenda kwa kasi?. Pili hii train itakuwa inabeba mizigo mingi. Fikiria mtu wa Kahama, ataweza kusafirisha sementi toka Dar kwa bei ndogo na simenti Kahama itapungua bei kwani monopoly ya sementi haitakuwepo, hayo si maendeleo? Achana na masuala ya ngerengere think outside the box. Hata watu wa ngerengere haitakuwa lazima apange nyumba hapa mjini, itakuwa ni rahisi kulala ngerengere na kwenda Dar kufanyakazi kila siku. Niendelee nisiendeleeNa kuna mikungu mingapi hapo ngara?hata huko ngerengere kuna magunia kadhaa ya mahindi na bei ni ndogo kuliko dar,the questions kuna production ya kutosha kuwatoa watu kwenye umaskini au wewe mtu akishapata hiyo 20,000 hata kama anauza mikungu 100 kwa mwaka ndo atauaga umasikini?
Una fikra duni kweli kweli, hivi kwa mfano Precision air ipo kwa ajili ya vingunge au matajiri au wateja.I agree,but nikuulize tu swali la kijinga probably, je Tanzania ni nchi ya kwanza Africa kujenga SGR? if not huko walipoanza kujenga SGR imebadilisha maisha ya wananchi wake au kukuza uchumi wa nchi zao kwa kiwango gani? au wao hawanaakili ndo maana hawajaona matunda ya SGR? Asilimia kubwa ya watanzania hali zao ni mbaya because they are not producing or their productivity is very so SGR ina maana gani kwao,labda tunamjengea Bharessa na wafanyabiashara wa Rwanda anakotoka mtu wetu
Kama zako ambazo umewekeza ktk vitu ambavyo hatuna mandatory ya kuvinunuasijui nijieleze vipi,
Kwanza hii miradi yote itakuwa na mandatory zipi ili pesa zilizotumika zirudi ili kulipa madeni kama hakuna nadiriki kunena hivi watanzania akili zetu zipo makalioni
Tulisema tunajenga na pesa za ndani
Thubutu,
katafiti tena.
Tunakopa sababu uwezo tunao, huo uwezo unaozungumzia ni upi?
Hakuna kitu kinaitwa uwezo wa kukopa au eti unakopa sababu uwezo wa kulipa upo, kukopa ni kukopa, hakuna uwezo wa kufanya mambo kwa pesa yako unaenda kukopa, mkopo maana yake wewe hujitoshelezi.
Kama wewe ni hohe hahe kalaga baho.I agree,but nikuulize tu swali la kijinga probably, je Tanzania ni nchi ya kwanza Africa kujenga SGR? if not huko walipoanza kujenga SGR imebadilisha maisha ya wananchi wake au kukuza uchumi wa nchi zao kwa kiwango gani? au wao hawanaakili ndo maana hawajaona matunda ya SGR? Asilimia kubwa ya watanzania hali zao ni mbaya because they are not producing or their productivity is very so SGR ina maana gani kwao,labda tunamjengea Bharessa na wafanyabiashara wa Rwanda anakotoka mtu wetu
Hii taarifa ni ya kitambo sana! SGR phase 2; Morogoro to Makutopora ilianza tangu katikati ya mwaka 2018.
Halafu hii picha siyo SGR ya Tanzania. Mfano: Hizo fasteners (vibanio vya reli na taruma), SGR-Tanzania wanatumia aina ya VOSSLOH Fastening System ambavyo design yake ni tofauti na vinavyoonekana hapo juu.
Ni juzi tu alisema tuachane na misaada na mikopo, hatuna sababu ya kukopa kwa sababu tu yupo mkopeshaji, huo ni ujinga.
Na wewe huwezi kuelewa swali langu kabisaHiyo comment yangu,sijui kama unaweza kuielewa wewe,am sorry