Tanzania close to securing funding for second phase of SGR project

Mkuu, hapo kipande cha morogoro-makutopora-dodoma kinachanganya kidogo. Hivyo jamaa anataka kueleweshwa tu.

Mfano; kuna hii habari ya Mwezi wa Saba ikionesha kipande kishapata ufadhili na makandarasi wapo site na progress iko hapa.

 
Ole,

Kazi ni kazi na wakati mnachukua hela kutoka kwa mabeberu walewale!

Maana hao ADB wanakopeshwa na Credit Suisse

Halafu mapumbavu ya njano yanasema Chadema “mabeberu”

Punguani kabisa!
 

Hicho kipande kimeanza kwa sababu ujengaji unaofanywa kwa awamu ya kwanza ndio upo 100% funded na Serikali. Kama unavyofahamu Serikali hata kama wasingekopeshwa uamuzi ulishafanywa kuweka mazingara ya kuboresha usafiri ni priority. Kwenye ujenzi kuna gangs tofauti, sasa kama gang ipo inaweza kufanya kazi huwezi kuwasimamisha ati kwa sababu hujapata 100% funding ya kujenga utaanza kidogo kidogo ndio hicho kitu kinafanyika.

Kumbuka mfano Tanzania tulikuwa tunapata Billioni 199 kwa mwaka kwa kuuza gold, hivi sasa tunategemea kupata billioni 479 kwa mwaka huu hilo ni ongezeko kubwa. Tanzanite kwa mwaka tulikuwa tunauza kilo 166 sasa hivi tunauza kilo 1995.52 yaani kutoka millioni 71 hadi billioni 2.5 hilo ni ongezeko kubwa vile vile. Hivyo basi hata tusipokopa tunaweza kujenga wenyewe. AfDB kwa sababu wanachochea maendeleo ya Afrika wameweza kukubali kwenda bega kwa bega na sisi kwa sababu hii reli itakuwa chachu nzuri vile vile kwa nchi za Congo, Rwanda, Burundi pamoja na Uganda.

Hapa chini waziri wa madini akitoa ufafanuzi kwenye sekta ya madini na ongezeko la kipato kwa taifa;

 
MakinikiA,


Soma hapa chini jinsi CIA walivyosema:


Uchumi wa Tanzania unaonyesha GDP inakuwa kwa asilimia 7. (Yaani hiyo imekuwa constant sasa kwa miaka 10) Au kwa maneno rahisi uchumi wetu unakua vizuri.

Kama JPM alivyosema tunaweza hakuna cha kuogopa. Hapa Kazi Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…