Tanzania closer to finalising real estate law
Dar es Salaam. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has engaged various stakeholders in the ongoing process of reviewing Tanzania’s real estate law.
The Ministry’s Director of Real Estate, Ms Upendo Matotola, told The Citizen that the review is currently awaiting government approval after undergoing comprehensive scrutiny to ensure it aligns with the sector’s needs and does not have negative impacts.
Media Group © 2025
Tanzania closer to finalising real estate law
I am strongly advise that:-
1. Rasimu ya Sheria hiyo ya Real Estates inapaswa kuwekwa Wazi kabisa kwa Umma ili Wananchi wengi zaidi waweze kutoa maoni yao kabla Rasimu hiyo haijapelekwa Bungeni kwa ajili ya kupitishwa na kuwa Sheria kamili.
2. Rasimu ya Kanuni za Sheria hiyo pia inapaswa kuwekwa hadharani mapema.
3. Rasimu za Sheria hizo zisambazwe humu mtandaoni ili iwe rahisi kwa Wananchi kuweza Kutoa maoni yao.
Wizara ya Ardhi iweke utaratibu rasmi wa kiofisi wa kuweza kusajili maoni ya Wananchi yanayotolewa kuhusiana na suala hili la Sheria ya Estates.
4. Uwazi kwenye suala hili ni muhimu sana kwa sababu Ardhi ndio rasilimali Kuu ya kuendesha Uchumi wa nchi na kuendelesha maisha ya Wananchi wote kabisa katika nchi hii ya Tanzania.
5. Kupitia Sheria hiyo, nashauri Usimamizi wa Rasilimali Ardhi uanzie katika ngazi za Kata.
Kuwepo na Maafisa Ardhi wa Kata kwa kila Kata hapa Tanzania.
6. Rasimu za Sheria na Kanuni za Sheria ya Real Estates zinapaswa ziwe katika Lugha zote Mbili za Kiingereza na Kiswahili kwa pamoja.
Ni muhimu sana kuzingatia masuala haya ya kuchapisha au kutafsiriwa kwa Sheria hiyo kwa lugha ya Kiswahili, Sheria hiyo itagusa Moja kwa moja Uhai na Maisha ya kila Mtu ya kila Siku.
Migogoro ya Ardhi ni mingi Sana hapa Tanzania, Sheria hiyo ije kuwa Mkombozi katika kupunguza migogoro hiyo badala ya kuongeza.