Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad angekuwepo Magu asingekubali huo ujinga waoWanatunga sheria bila kufikiri tumetoka wapi.
Mwanchi kule kijijini ukimwambia alipie ardhi, wangapi wata ishi kwenye makazi yao au kuweza kulima na kufuga kwenye ardhi huko vijijini?
Lakini sheria zao huwa hazi tenganishi, kijijini na mjini.
Wanaweza kutunga sheria iliyolenga ardhi ya kigamboni Dar es salaam, lakini hiyo hiyo ikatumika Nansio Ukerewe.
Ukienda mahakamani wanasheria wanakusomea kama ilivyopitishwa na bunge, hapo ndio utajua uko Tanganyika.