snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,491
- 1,298
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua sana kwa muda mrefu.
Mungu ametujalia akiba kubwa ya gesi Songosongo na MnaziBay.Naelewa kila kitu huanza taratibu,lakini kwa unafuu wa bei ninaoushuhudia kwenye bei za CNG vs petrol/diesel kwa sasa ni mkubwa mno.
Tayari 5+ years magari yameweza kuwa converted. Tayari Private sector wameanza kupata vibali vya kuuza na kusambaza CNG. Tayari tuna mafundi wazoefu kufanya conversion ya magari ya conventional fuel kwenda CNG.
Je? hadi leo ni,
1.Kwanini mikoa mingine(miji mikubwa) haina vituo vya CNG hadi leo?
Speaking of Dodoma,Arusha,Mwanza,Mbeya...hata Mtwara yenyewe I really doubt kama wana sheli ya CNG.
2.Kwa uhaba wa sasa wa mafuta bei juu,kwanini wasipush magari yanayosafirisha umma(public transport),mabasi ya mikoani kutumia CNG ili kuleta unafuu wa gharama kwa mwananchi?
3.Kwanini magari ya Serikali hadi leo hayajawa converted kwenye CNG? Hata move ya wizara au taasisi moja tu sijaona wala kusikia? ie mfano mdogo--ofisi za serikali zinazo operate Dar pekee ambapo kuna network ya gesi mfano halmashauri/jiji--kuconvert 25% ya magari yake kwenda CNG.Au sababu madereva hawataweza kupiga nyoka?
4.Kwanini wafanyabiashara wako hesitant kuanzisha hii biashara mikoa mingine?
5.Kwanini CNG haiko utilised kwenye backup generators bado(labda inatumika lakini mimi sijaona bado).
6.Kwanini hatutumii rasilimali tulizo nazo kikamilifu--je ni tamaa,au ufinyu wa akili? au kuna % za watu kwenye bei za mafuta?
CNG is practically very expensive and inneficient to export/transport kwenda mbali lakini ---ndani ya nchi yetu--kama ni possible kusafirisha by pipe from Mtwara to Dar--na Dar ifanyiwe distribution kwa makilometa mengi--kwanini sio sehemu nyingine?
NB:Majirani zatu Kenya hawana CNG ila wanatumia imported LPG kwenye taxi's na magari madogo machache na wana distribution Nairobi,Mombasa,Nakuru na Kisumu....nini kinatushinda sisi?ni sera? mitaji?
cc: Pascal Mayalla Watu8 Nyani Ngabu