Tanzania collected three years’ worth of Tanzanite royalties in three months

Tanzania collected three years’ worth of Tanzanite royalties in three months

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
THURSDAY, MAY 31, 2018

The Minister for Minerals Ms Angellah Kairuki said the increase followed the controlling of the tanzanite mining.

Dodoma. The government said on Thursday that it has collected Sh614.67 million as royalty from tanzanite artisanal miners in three months, from January to March this year.

This is more than what it collected in the last three years.

The Minister for Minerals Ms Angellah Kairuki said the increase followed the controlling of the tanzanite mining.

Last year, the Speaker of the National Assembly Mr Job Ndugai formed a special committee to investigate tanzanite mining which recommended controlling the mining.

President John Magufuli also ordered fencing the tanzanite mining area as a way of controlling it.

"Due to such steps, the government collected Sh714.67 million as royalty for three months with Sh614.67 million being from artisanal tanzanite miners," said Mrs Kairuki.

Mrs Kairuki was tabling her ministry's budget for 2018/19.

The budget has increased from Sh52.445 billion in the current financial year to Sh58.9 billion in the next financial year.
 
Barabara, maji, Elimu, afya nk. Kama unasubiri Pesa mkononi pole
Tuangazie afya : Last week nimeenda Muhimbili na mdogo wangu, ana bima ya NHIF.... Anatakiwa kufanyiwa kipimo tumboni, ambacho wanaingiza mrija flani thru mdomoni mpaka tumboni. Pamoja na kuwa na bima zikatutoka cash laki mbili na nusu. Wakabaini uvimbe tumboni na mishipa kooni ina hitilafu Kwani pia kuna uvimbe unabana mishipa. Pamoja kuwa na bima tukaambiwa tununue vifaa walivyotuandikia. Kwenda kwenye ile phamarcy yao laki saba ikakatika.... Yaani mpaka zoezi linakamilika ni zaidi ya milioni na kitu, na bado operesheni ya tumboni....
 
Tzs 614m from artisanal miners and 100m from mining companies? What does it mean?
 
30 mil...lol! nimeona mabilioni ya mapesa nikashtuka...kumbe Tanzanian Shillings😀😀😀😀😀tissue paper currency
Not big deal about that, refer to Zambian Kwacha u will understand. Zambian Kwacha = $10,KES=$10 so what can u say about these two currencies?
 
30 mil...lol! nimeona mabilioni ya mapesa nikashtuka...kumbe Tanzanian Shillings😀😀😀😀😀tissue paper currency
Hiyo Tzs mil 600 kwa ngazi ya Serikali hata kwa Tz ni ndogo sana tena sanaa, ila kwa mtu wa kawaida ni nyingi, vilevile Ksh 30 mil kwa Serikali ya Kenya ni kidogo Sana lakini ukipewa wewe wakenya hawata lala .. Kwahiyo ni vilevile tu tofauti wingi wa Noti.
 
Not big deal about that, refer to Zambian Kwacha u will understand. Zambian Kwacha = $10,KES=$10 so what can u say about these two currencies?
I think I said TSh is tissue paper currency...sasa zambia aliyekuuliza n nani? TSh pengine nitumie chooni kujipanguza kinyesi baada ya kujisaidia...yaani panaandikwa mabilioni ya hela mtu anashtuka kumbe hamna chochote...mil 30 tu😀😀 au 300,000 dola za Marekani
 
Hiyo Tzs mil 600 kwa ngazi ya Serikali hata kwa Tz ni ndogo sana tena sanaa, ila kwa mtu wa kawaida ni nyingi, vilevile Ksh 30 mil kwa Serikali ya Kenya ni kidogo Sana lakini ukipewa wewe wakenya hawata lala .. Kwahiyo ni vilevile tu tofauti wingi wa Noti.
Tanzanite ni mali ya mtanzania mmoja au watanzania wote kwa ujumla? ndio, mimi nkipata hizo hela lazima ntawehuka ila mbona rasilimali za nchi zipewe mtu mmoja? pointi yangu ni kuwa hizo n hela kidogo sana kaka...
 
Huyo aliyepewa MTU mmoja ni nani??
ni mfano tu...ukasema nikapewa mie watu hawatolala ila kwa serikali ni hela kidogo...anyway, ukweli wa mambo ni kuwa hizo hela ni kama tu pocket change...haziwezi zikajenga hata barabara kilomita moja licha ya kwamba ni mabilioni ya TSH😀😀😀
 
Tuangazie afya : Last week nimeenda Muhimbili na mdogo wangu, ana bima ya NHIF.... Anatakiwa kufanyiwa kipimo tumboni, ambacho wanaingiza mrija flani thru mdomoni mpaka tumboni. Pamoja na kuwa na bima zikatutoka cash laki mbili na nusu. Wakabaini uvimbe tumboni na mishipa kooni ina hitilafu Kwani pia kuna uvimbe unabana mishipa. Pamoja kuwa na bima tukaambiwa tununue vifaa walivyotuandikia. Kwenda kwenye ile phamarcy yao laki saba ikakatika.... Yaani mpaka zoezi linakamilika ni zaidi ya milioni na kitu, na bado operesheni ya tumboni....
Hiyo bima ina muda muda gani toka mpewe kadi? Na mmejaribu kuuliza inacover nini na kitu gani hakipo covered? Maana isije ikawa mtu unalaumu kumbe hukuuliza
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom