Tanzania collected three years’ worth of Tanzanite royalties in three months

ni mfano tu...ukasema nikapewa mie watu hawatolala ila kwa serikali ni hela kidogo...anyway, ukweli wa mambo ni kuwa hizo hela ni kama tu pocket change...haziwezi zikajenga hata barabara kilomita moja
Agreed ni Pesa kidogo lakini na Tanzanite iliyouzwa hapo ni kidogo sana.. Yani hapo alitaka kuonesha kwamba Tanzanite imepanda bei na tulikua tunaibiwa sana huko nyuma..
 
ni mfano tu...ukasema nikapewa mie watu hawatolala ila kwa serikali ni hela kidogo...anyway, ukweli wa mambo ni kuwa hizo hela ni kama tu pocket change...haziwezi zikajenga hata barabara kilomita moja licha ya kwamba ni mabilioni ya TSH😀😀😀
Na karibia Pesa yote hiyo ni kwa wachimbaji wadogo..
 
Hiyo bima ina muda muda gani toka mpewe kadi? Na mmejaribu kuuliza inacover nini na kitu gani hakipo covered? Maana isije ikawa mtu unalaumu kumbe hukuuliza
Bima iko okay....naamini hayo ni Matibabu ambayo yako covered na bima, kuna rafiki yangu alikuwa na same case two yrs ago but it was all covered na AAR.
 
Mim mwenyewe nilipopata bima yangu na mama yangu mzazi nilimpiga maswali HR wangu hadi leo haniongeleshi lakin sikujali maana nilitaka kuclear doubt
 
30 mil...lol! nimeona mabilioni ya mapesa nikashtuka...kumbe Tanzanian Shillings😀😀😀😀😀tissue paper currency

for we economist and finance people, we see nothing from that. Compare the Japanese Yen to your madafuKES. If you have a third eye you'll see something.
 
THURSDAY, MAY 31, 2018

The Minister for Minerals Ms Angellah Kairuki said the increase followed the controlling of the tanzanite mining.

Dodoma. The government said on Thursday that it has collected Sh614.67 million as royalty from tanzanite artisanal miners in three months, from January to March this year.

This is more than what it collected in the last three years.

The Minister for Minerals Ms Angellah Kairuki said the increase followed the controlling of the tanzanite mining.

Last year, the Speaker of the National Assembly Mr Job Ndugai formed a special committee to investigate tanzanite mining which recommended controlling the mining.

President John Magufuli also ordered fencing the tanzanite mining area as a way of controlling it.

"Due to such steps, the government collected Sh714.67 million as royalty for three months with Sh614.67 million being from artisanal tanzanite miners," said Mrs Kairuki.

Mrs Kairuki was tabling her ministry's budget for 2018/19.

The budget has increased from Sh52.445 billion in the current financial year to Sh58.9 billion in the next financial year.
who collected the data for the said 3 yrs? CCM.

who cooked (sorry collected) the data for the said 3 months? who else....CCM!

who's doing the comparative analysis now? CCM, of course!

who wants to remain in power forever by hooks and crooks? same-o-CCM!

I rest my case!
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.

Hayo maneno ni mazito sana.
Je una ushahidi ili kusudi kutuondolea chembe za mashaka!!??
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
Nonsense comment!!
 
Wacha ni wapongeze kwa ku collect 3 years worth of royalties in 3 months hata kama ni pesa ndogo, atleast mumepiga hatua, au sio?
sasa next step ni kuchunguza kwanini artisans wa Tz wana uwezo mdogo hivo wa kuchimba madini hadi wanachangia pesa ndogo hivyo, labda wangejiunga au serekali ingewanunulia vifaa vya kisasa ili wawe na uwezo mkubwa wa kuchumba madini na kulipa royalty kubwa kubwa bila kutegemea foreign mining companies ambazo zinapeleka faida nje ya nchi
 
I think I said TSh is tissue paper currency...sasa zambia aliyekuuliza n nani? TSh pengine nitumie chooni kujipanguza kinyesi baada ya kujisaidia...yaani panaandikwa mabilioni ya hela mtu anashtuka kumbe hamna chochote...mil 30 tu😀😀 au 300,000 dola za Marekani
So what do you want? Are they planning to give you that money? Or what, why are you crying
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
You sound lunatic
 
  1. Bima iko okay....naamini hayo ni Matibabu ambayo yako covered na bima, kuna rafiki yangu alikuwa na same case two yrs ago but it was all covered na AAR.

  2. Ni Bima hizi za kuchangia binafsi au za wafanyakazi wa umma?
 
who collected the data for the said 3 yrs? CCM.

who cooked (sorry collected) the data for the said 3 months? who else....CCM!

who's doing the comparative analysis now? CCM, of course!

who wants to remain in power forever by hooks and crooks? same-o-CCM!

I rest my case!
And who said the wall to be built?
 
Wacha ni wapongeze kwa ku collect 3 years worth of royalties in 3 months hata kama ni pesa ndogo, atleast mumepiga hatua, au sio?
sasa next step ni kuchunguza kwanini artisans wa Tz wana uwezo mdogo hivo wa kuchimba madini hadi wanachangia pesa ndogo hivyo, labda wangejiunga au serekali ingewanunulia vifaa vya kisasa ili wawe na uwezo mkubwa wa kuchumba madini na kulipa royalty kubwa kubwa bila kutegemea foreign mining companies ambazo zinapeleka faida nje ya nchi
Man that's royalties not the gross profit!! That's only less than 12% of what those artisans got from the business, just the peanut

So go and multiply that figure by 8.8 and you gonna find the actual money in the pockets of artisans folded.
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
Nina uhakika haujawahi kugusa hizo sehemu ulizozitaja
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
Wazazi wako wana hasara sana

Kichwa box
 
Hiyo bima ina muda muda gani toka mpewe kadi? Na mmejaribu kuuliza inacover nini na kitu gani hakipo covered? Maana isije ikawa mtu unalaumu kumbe hukuuliza
Akikujibu mkuu naomba uni tag
 
Toka ajenge ukuta kuzunguka huu mgodi wa Tanzanite ambao umejengwa na Jeshi letu la Ulinzi na baada ya hapo kapeleka Askari wa Rwanda ndio wanalinda huu mgodi, nimekuja kuona kwa sasa Tanzania inaongozwa na KICHAA..

Yani u don't trust jeshi lako kwenye ulinzi mpaka uweke Wanyarwanda wakulindie?

Ni kama Ikulu ya Dar inavyolindwa na Askari wa Rwanda..
Ni Aibu kabisa.

Kinachofuata ni kusikia Rwanda yaongoza mauzo ya Tanzanite Ulimwenguni.
Nyie ndio mnaiweka jf matatani kwenye kesi yake na serikali sababu hii unaclaim ni stupid lies and you'll gain nothing
 
Back
Top Bottom