Hahaha. Hio kampuni ya kwanza kwenye listi ni kubwa mara mbili ya uchumi wa Tanzania. HahahaTop company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !
KE ni giant wa upupu hamna pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo zenu ni private na huwezi mlazimisha Mo kulist kampuni zake. Kama hataki unamuacha tu maana ni haki yake. Lakini Safaricom ilikuwa inamilikiwa na serikali ya Kenya kwa asilimia kubwa hapo awali. Serikali ya Kenya ndio iliamua kuuza shares zake kwa stock market. Serikali ya Kenya bado inamiliki asilimia ishirini ya Safaricom kama sijakosea.
Safaricom is almost 70% South African or UK VodafoneBarrick is still a Canadian company. Listed on Toronto exchange. Kwenya subsidiary ya Tanzania, Barrick owns 84%.
Deal ya kutengeneza Barrick Tanzania ilifika valuation ya $1.2bn.
Hio bado ni asilimia 10 ya Safaricom.
Barrick Gold forms joint venture with Tanzanian government
Not true...TBL imepitwa na Safaricom pekeeHata hizo 3 ziko juu ya hizo 2 zenu...nyinyi ni kuvuta mkia tu ama Kuna vile Tz 3 ni ndogo kuliko 2?
kuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200bTop company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !
KE ni giant wa upupu hamna pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true. Stock prices are inflated by cheap money floating around in the stock market.Kampuni mingi hapa ni paper tigers.
Valuation haipelekani na income.
Kumaanisha investors wa stock market wanazipenda, lakini hazileti chochote.
Sielewi vipi Maroc Telecom ya Morocco iko na revenue na income ndogo kuliko Safaricom, lakini valuation yake iko juu.
Serikali ya Kenya: 35%can you inform us the owners wa safaricom maana naskiaga GOV then vodacom south africa, ebu make us clear on this please
Very true. Stock prices are inflated by cheap money floating around in the stock market.
Safaricom is almost 70% South African or UK Vodafone
La. Ukiwa na kampuni yako kibinafsi kama vile Azam, sio lazima watu wanunue stock. Lakini kama huna hela na unataka kuuza stock ya kampuni yako basi hapo ndipo unaweza kuiuza kwa umma kwenye Dar es Salaam stock exchange. Lakini kumbuka ukiuza stock zaidi ya asilimia hamsini ya kampuni yako utapoteza control ya kampuni yako.an extra question mkuu, kuna swali hua najiulizaga, ni lazima ukiwa na kampuni watu wanunue stocks in your company? and what if the company has enough revenues! i know its a stupid question because i dont know much about stocks
Boss kwa nini metals&mining upande wa profit zina negative? What does it mean? Au expenses zilikuwa kubwa kushinda net profit.Anha wamezingatia Mcap naona
Nmeangalia hapo Company nyngne ziko juu ..ya nyngne inagwa net prof ni ndogoView attachment 1454747
Sent using Jamii Forums mobile app
No, watu wananua shares ukiweka kampuni yako kwenye soko la hisa. Sana sana kampuni zinafanya hivi kupata pesa za kuendesha biashara na kupanua.an extra question mkuu, kuna swali hua najiulizaga, ni lazima ukiwa na kampuni watu wanunue stocks in your company? and what if the company has enough revenues! i know its a stupid question because i dont know much about stocks
And I think Naira tops the list in terms of GDPSA investors wengi ni wanje ya nchi thts why ni kubwa ..sasa GDP ya SA si haijafikia 390uSD billion
Hao investors most likely prof zinaenda kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
No listing on the stock exchange is voluntary not compulsory. We have big companies not listed on the Nairobi stock exchange like Bidco which operates in 29 african countries.Anha inakuwa traded sana via stocks
Alfu si ni sheria kwa kila company ziwe listed kwenye stock exchanges ..lets say how does it work huko kenya ..are most of big companies listed ?
Huku Tz kuna company nashangaa hazijawa listed
Mo, Azam, Tigo, Airtel, Ttcl .. And i fail to understand why
Sent using Jamii Forums mobile app
No...it's over $300Bkuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200b
Top 5 biggest companies in east africa by market capitalization (2020)Haha kwan mimi nimekataa Safaricom haiongozi E.A...Mimi nimesema TBL inafuatia na imeziacha zenu zote zilizobaki!!! Hutaki au
Mwaka jana mining industry haikufanya vizuri mkuu. It means they didnt have enough revenue ku break even I think mwaka huu zimeanza vizuri maana Gold prices zimepandaBoss kwa nini metals&mining upande wa profit zina negative? What does it mean? Au expenses zilikuwa kubwa kushinda net profit
Because your government fears competition.Hiyo safaricom ipo Kenya tu Bora angesema bank ya kcb naweza nisibishe Sana kwa sababu ipo tz japo haijadominate Sana soko tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntaryNo listing on the stock exchange is voluntary not compulsory. We have big companies not listed on the Nairobi stock exchange like Bidco which operates in 29 african countries
Only in Kenya and still gives south african companies a run for their money.Hiyo safaricom ipo Kenya tu Bora angesema bank ya kcb naweza nisibishe Sana kwa sababu ipo tz japo haijadominate Sana soko tz
Sent using Jamii Forums mobile app