Tanzania Companies top listed

Tanzania Companies top listed

Top company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !

KE ni giant wa upupu hamna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Hio kampuni ya kwanza kwenye listi ni kubwa mara mbili ya uchumi wa Tanzania. Hahaha
 
Hizo zenu ni private na huwezi mlazimisha Mo kulist kampuni zake. Kama hataki unamuacha tu maana ni haki yake. Lakini Safaricom ilikuwa inamilikiwa na serikali ya Kenya kwa asilimia kubwa hapo awali. Serikali ya Kenya ndio iliamua kuuza shares zake kwa stock market. Serikali ya Kenya bado inamiliki asilimia ishirini ya Safaricom kama sijakosea.

Can you inform us the owners wa safaricom maana naskiaga GOV then Vodacom South Africa, ebu make us clear on this please.
 
Top company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !

KE ni giant wa upupu hamna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200b
 
Kampuni mingi hapa ni paper tigers.
Valuation haipelekani na income.
Kumaanisha investors wa stock market wanazipenda, lakini hazileti chochote.

Sielewi vipi Maroc Telecom ya Morocco iko na revenue na income ndogo kuliko Safaricom, lakini valuation yake iko juu.
Very true. Stock prices are inflated by cheap money floating around in the stock market.
 
Very true. Stock prices are inflated by cheap money floating around in the stock market.

an extra question mkuu, kuna swali hua najiulizaga, ni lazima ukiwa na kampuni watu wanunue stocks in your company? and what if the company has enough revenues! i know its a stupid question because i dont know much about stocks
 
La. Ukiwa na kampuni yako kibinafsi kama vile Azam, sio lazima watu wanunue stock. Lakini kama huna hela na unataka kuuza stock ya kampuni yako basi hapo ndipo unaweza kuiuza kwa umma kwenye Dar es Salaam stock exchange. Lakini kumbuka ukiuza stock zaidi ya asilimia hamsini ya kampuni yako utapoteza control ya kampuni yako.

Ukiwa na umiliki wa asilimia arubaini na tisa (49%) basi huna control tena wa kampuni yako. Hii ndio maana Mo na Azam hawataki kuuza stock sana maana hawataki kupoteza control. Mtu au Watu wanaomiliki zaidi ya asilimia hamsini basi wao ndio wanaocontrol kila kitu kwenye kampuni. Wanaitwa majority shareholders. Akitaka Azzam anaweza kuuza stock hadi ifike 51% lakini hawezi uza zaidi ya hio kama bado anataka kucontrol kampuni yake.
 
an extra question mkuu, kuna swali hua najiulizaga, ni lazima ukiwa na kampuni watu wanunue stocks in your company? and what if the company has enough revenues! i know its a stupid question because i dont know much about stocks
No, watu wananua shares ukiweka kampuni yako kwenye soko la hisa. Sana sana kampuni zinafanya hivi kupata pesa za kuendesha biashara na kupanua.
 
Anha inakuwa traded sana via stocks

Alfu si ni sheria kwa kila company ziwe listed kwenye stock exchanges ..lets say how does it work huko kenya ..are most of big companies listed ?

Huku Tz kuna company nashangaa hazijawa listed
Mo, Azam, Tigo, Airtel, Ttcl .. And i fail to understand why

Sent using Jamii Forums mobile app
No listing on the stock exchange is voluntary not compulsory. We have big companies not listed on the Nairobi stock exchange like Bidco which operates in 29 african countries.
 
kuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200b
No...it's over $300B
 
Haha kwan mimi nimekataa Safaricom haiongozi E.A...Mimi nimesema TBL inafuatia na imeziacha zenu zote zilizobaki!!! Hutaki au
Top 5 biggest companies in east africa by market capitalization (2020)
a) Safaricom
b) East Africa Breweries
c) Equity Group Holdings
f) Tanzania Breweries
g) Kenya Commercial Bank (KCB)
 
No listing on the stock exchange is voluntary not compulsory. We have big companies not listed on the Nairobi stock exchange like Bidco which operates in 29 african countries
Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom