Yeah Nigeria wako 400 naa ..lakin sahiiz na oil kushuka na Covid gdp yao itayumba ..And I think Naira tops the list in terms of GDP
ππshukraniMwaka jana mining industry haikufanya vizuri mkuu ...it means they didnt have enough revenue ku break even ..i think mwaka huu zimeanza vizuri maana Gold prices zimepanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Another company is brookside exporting dairy products to 21 african countries and 8 countries in the middle east but it is not listed on the Nairobi stock exchange.Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary
Sent using Jamii Forums mobile app
Safaricom ? Au TBLkulikua na some rumours sjui niseme news: they want to dive ethiopia yawezekana theya re expanding, but remember they hold all the rights za mpesa kuanzia mpesa ya tz
Sawa nmekupata boss..niliona Tz Gov. Inasema inabid telecom company ziwe listed ...Like Tgo and airtel which hazija listHizo zenu ni private na huwezi mlazimisha Mo kulist kampuni zake. Kama hataki unamuacha tu maana ni haki yake. Lakini Safaricom ilikuwa inamilikiwa na serikali ya Kenya kwa asilimia kubwa hapo awali. Serikali ya Kenya ndio iliamua kuuza shares zake kwa stock market. Serikali ya Kenya bado inamiliki asilimia ishirini ya Safaricom kama sijakosea.
GOK will never force anybody to list their company if they do not want to. In fact the Nairobi stock exchange is a private company itself.Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary
Sent using Jamii Forums mobile app
You know thats not the list right ?Top 5 biggest companies in east africa by market capitalization (2020)
a) safaricom
b) east africa breweries
c) equity group holdings
f) Tanzania breweries
g) Kenya Commercial bank (KCB)
GOK will never force anybody to list their company if they do not want to. In fact the Nairobi stock exchange is a private company itself. Kenya has multiple large companies that are not listed on the securities exchange but employ thousands of people.Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary
Sent using Jamii Forums mobile app
It is by market capitalization
Vip mabillionea wa dollars πMahala popote utapata Tz iko top 10, 100 utaipata inavuta mkia Yani hakuna siku ipo juu ya Kenya wanatunusaπ
I think its same na Tz itakuwa nmesikia vibaya tuGOK will never force anybody to list their company if they do not want to. In fact the Nairobi stock exchange is a private company itself. Kenya has multiple large companies that are not listed on the securities exchange but employ thousands of people.
Inaitwa creative accounting. Mining companies nyingi ni za kutoka nje. Huwa hazipendi kulipa tax. Kuna njia nyingi ya kucheza na profit & loss statement ili upate net loss. Unaweza undereport revenue au uinflate costs. Pia provision for depreciation inaweza kutumika kucheza na profit.Boss kwa nini metals&mining upande wa profit zina negative? What does it mean? Au expenses zilikuwa kubwa kushinda net profit
ππππInaitwa creative accounting. Mining companies nyingi ni za kutoka nje. Huwa hazipendi kulipa tax. Kuna njia nyingi ya kucheza na profit & loss statement ili upate net loss. Unaweza undereport revenue au uinflate costs. Pia provision for depreciation inaweza kutumika kucheza na profit.
Ile kampuni ya dhahabu iliyosimamishwa na rais Magufuli, ilianza kazi ama bado inafanya kesi?Mwaka jana mining industry haikufanya vizuri mkuu ...it means they didnt have enough revenue ku break even ..i think mwaka huu zimeanza vizuri maana Gold prices zimepanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenu TZ nadhani bunge lenu lilipitisha mswada kuwa kampuni zote za mawasiliano lazima ziuze hisa kwenye soko la hisa. Lakini hio sheria haipo Kenya.Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi iwe listed..ila naona bado vitu ..plus kuanza kazi sijaona..maana headquaters zakd inabidi ziwe mwanzaIle kampuni ya dhahabu iliyosimamishwa na rais Magufuli, ilianza kazi ama bado inafanya kesi?
Ndiyo ile waliyounganisha nguvu na serikali kuform Twiga?Ilibidi iwe listed..ila naona bado vitu ..plus kuanza kazi sijaona..maana headquaters zakd inabidi ziwe mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai unafahamu rais wenu Magufuli alichofanyia kampuni yenu moja ya dhahabu iliyokuwa inacheza huu mchezo kwa miaka mingi.ππππ
Ni vizuri Magufuli aliwashika makend* wakashindwa kufurukuta, wakasalimu amri. Hawa wazungu ukiwaachia tu, watatoboa mashimo kwenye ardhi yenu na kuchukua dhahabu na kusepa bila kulipa chochote.Ilibidi iwe listed..ila naona bado vitu ..plus kuanza kazi sijaona..maana headquaters zakd inabidi ziwe mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app