Tanzania Companies top listed

Tanzania Companies top listed

Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary

Sent using Jamii Forums mobile app
Another company is brookside exporting dairy products to 21 african countries and 8 countries in the middle east but it is not listed on the Nairobi stock exchange.
 
Hizo zenu ni private na huwezi mlazimisha Mo kulist kampuni zake. Kama hataki unamuacha tu maana ni haki yake. Lakini Safaricom ilikuwa inamilikiwa na serikali ya Kenya kwa asilimia kubwa hapo awali. Serikali ya Kenya ndio iliamua kuuza shares zake kwa stock market. Serikali ya Kenya bado inamiliki asilimia ishirini ya Safaricom kama sijakosea.
Sawa nmekupata boss..niliona Tz Gov. Inasema inabid telecom company ziwe listed ...Like Tgo and airtel which hazija list

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary

Sent using Jamii Forums mobile app
GOK will never force anybody to list their company if they do not want to. In fact the Nairobi stock exchange is a private company itself.
 
Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary

Sent using Jamii Forums mobile app
GOK will never force anybody to list their company if they do not want to. In fact the Nairobi stock exchange is a private company itself. Kenya has multiple large companies that are not listed on the securities exchange but employ thousands of people.
 
I think its same na Tz itakuwa nmesikia vibaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss kwa nini metals&mining upande wa profit zina negative? What does it mean? Au expenses zilikuwa kubwa kushinda net profit
Inaitwa creative accounting. Mining companies nyingi ni za kutoka nje. Huwa hazipendi kulipa tax. Kuna njia nyingi ya kucheza na profit & loss statement ili upate net loss. Unaweza undereport revenue au uinflate costs. Pia provision for depreciation inaweza kutumika kucheza na profit.
 
👊👊👊🙏
 
Mwaka jana mining industry haikufanya vizuri mkuu ...it means they didnt have enough revenue ku break even ..i think mwaka huu zimeanza vizuri maana Gold prices zimepanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kampuni ya dhahabu iliyosimamishwa na rais Magufuli, ilianza kazi ama bado inafanya kesi?
 
Anha i thought kuna sheria ya some 25 % of company lazima iwe floated ..ntafwatila zaidi upande wa Tz ..but nlijua kenya mna kitu hiko..kumbe ni voluntary

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenu TZ nadhani bunge lenu lilipitisha mswada kuwa kampuni zote za mawasiliano lazima ziuze hisa kwenye soko la hisa. Lakini hio sheria haipo Kenya.
 
Ilibidi iwe listed..ila naona bado vitu ..plus kuanza kazi sijaona..maana headquaters zakd inabidi ziwe mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri Magufuli aliwashika makend* wakashindwa kufurukuta, wakasalimu amri. Hawa wazungu ukiwaachia tu, watatoboa mashimo kwenye ardhi yenu na kuchukua dhahabu na kusepa bila kulipa chochote.
 
Back
Top Bottom