Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
πππNatumai unafahamu rais wenu Magufuli alichofanyia kampuni yenu moja ya dhahabu iliyokuwa inacheza huu mchezo kwa miaka mingi.
Not really. Tanzania forces companies in mining and telecommunications to list on dar es salaam stock exchange while Kenya does not. Tanzania also forces foreign companies exceeding a particular revenue base to list on the stock exchange.
Yeah mzeeNdiyo ile waliyounganisha nguvu na serikali kuform Twiga?
Kwa sababu ni private companies.Anha inakuwa traded sana via stocks
Alfu si ni sheria kwa kila company ziwe listed kwenye stock exchanges ..lets say how does it work huko kenya ..are most of big companies listed ?
Huku Tz kuna company nashangaa hazijawa listed
Mo, Azam, Tigo, Airtel, Ttcl .. And i fail to understand why
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko fiti wanainchi wa Ldc.vip mabillionea wa dollars π
Kwani ulijua safaricom ni whole pure Kenyan? That's SA vodacom plus UK Vodafone mega holders.Lol. Huu uwongo mtarudia mpaka mchoke.
Kwani ulijua safaricom ni whole pure Kenyan? That's SA vodacom plus UK Vodafone mega holders.
πππππππππππππππππHuyu msee hubisha hata ukimpea facts, he is simply trying to downplay kenyan shares in safcom, hehehe nkt
πππππππππππππππππ
Huwa nikiangalia hii kitu machozi yanataka kudondoka
Imagine this multi billion white elephant scam just dumped in the bush no railway nor road to connect to nowhere
Pesa zimepigwa and case closed
Kazi kwenu wavuja jasho kulipia ufisadi wa watu πππππππππ
View attachment 1454950
Sio chini ya $370Bkuna difference ya market cap na GDP,market cap ni value of shares traded at stock market hakuna production hapo,lakini GDP ni uzalishaji upya wa bidhaa,kwa mfano naweza kua na shares za safcom alafu niuzie investor mwingine hapo hakuna uzalishaji upya wa mali,lakini gdp nikilima shamba yangu nipeleke bidhaa sokoni na niziuze,hapo nimezalisha mali upya,ndio maaana SA GPD yao iko around $200b
ime contract juu ya covid
La. Ukiwa na kampuni yako kibinafsi kama vile Azam, sio lazima watu wanunue stock. Lakini kama huna hela na unataka kuuza stock ya kampuni yako basi hapo ndipo unaweza kuiuza kwa umma kwenye Dar es Salaam stock exchange. Lakini kumbuka ukiuza stock zaidi ya asilimia hamsini ya kampuni yako utapoteza control ya kampuni yako. Ukiwa na umiliki wa asilimia arubaini na tisa (49%) basi huna control tena wa kampuni yako.
Hii ndio maana Mo na Azam hawataki kuuza stock sana maana hawataki kupoteza control. Mtu au Watu wanaomiliki zaidi ya asilimia hamsini basi wao ndio wanaocontrol kila kitu kwenye kampuni. Wanaitwa majority shareholders. Akitaka Azzam anaweza kuuza stock hadi ifike 51% lakini hawezi uza zaidi ya hio kama bado anataka kucontrol kampuni yake.
No , watu wananua shares ukiweka kampuni yako kwenye soko la hisa...
sana sana kampuni zinafanya hivi kupata pesa za kuendesha biashara na kupanua
Pana, iki contract sana labda 1% kwa hivyo labda $90b
Nlielewa vbaya ..nlisoma expansion ya ethiopia ..najua safari com walikuwa na plan hizoTBL na mpesa wap wap ndugu
Mwenye nyingi bosstukitumia mfano wa safaricom, nmeona the government own 35% of which ndo nyingi! lakini hakuna mwenye zaidi ya 50% , nan ndio msemaji mkuu apo!
Kwahyo kutoka 370 hadi 200 unaona ni rahisi lakin 100 kwa 40 haiwezekan?pana, iki contract sana labda 1% kwa hivyo labda $90b
Ok, siko accurate lakini nadhani wako below 300 kwa sasa.Kwahyo kutoka 370 hadi 200 unaona ni rahisi lakin 100 kwa 40 haiwezekan?
Sent using Jamii Forums mobile app